Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Wanapenda kufanya vitu bila kufikiria ngoja lumumba watumie propaganda na mnajua akili za watanzania ni ndogo kuaminishwa uongo, mwisho mnaonekana watu wa fujo. Sijaona umuhimu wakuongeza bet kwenye wimbo wataifa
Lisu ameshakujibu, hakuna kifungu cha sheria kinachokataza. Tuache ukondoo watanzania.

Ndio maana ni almost nchi pekee duniani inayoongozwa na chama kimoja tangu uhuru bila kuleta maendeleo yoyote.
 
Lisu ameshakujibu, hakuna kifungu cha sheria kinachokataza. Tuache ukondoo watanzania.

Ndio maana ni almost nchi pekee duniani inayoongozwa na chama kimoja tangu uhuru bila kuleta maendeleo yoyote.
Mkuu sio nyie na CDM mumekurupuka sio lazima kila Jambo liwe kisheria ni just common sense tu basi,
 
Iko siku wataongeza rangi nyingine kwenye bendera ya taifa hawa jamaa
Kweli Wana mihemko isiyo na misingi why kuongeza beti, wimbo wa taifa ni nembo ya nchi na haitakiwi kuchezewa chezewa hovyo. Chadema waache huo utopolo wabeti lingine
 
Twende na Lissu tukapige kura nyingi ili hata kama wakiiba wapate kaazi kweli kweli kuziiba
 
Enzi hizo maisha yalikua safi
 
Sasa kama ni common sense kwanini Mutungi alitoa onyo
Alitoa onyo ili murudi kwenye mstari Mimi ninavojua wimbo wa taifa haitakiwi kuchezewa hovyo, bendera ya taifa, Ile nembo ya Bibi na bwana ni kosa kabisa hata kuvaa nguo yenye bendera Kuna siku nilisikiliza maelezo cloud's
 
Lisu ameshakujibu, hakuna kifungu cha sheria kinachokataza. Tuache ukondoo watanzania.

Ndio maana ni almost nchi pekee duniani inayoongozwa na chama kimoja tangu uhuru bila kuleta maendeleo yoyote.
Yaani kwa akili yako unaona hakuna maendeleo yaliyofanyika? We ni mtu wa ajabu sana. Hivi unafahamu wkt tunapata uhuru kulikuwa na barabara ngapi za lami??
 
Yaani kwa akili yako unaona hakuna maendeleo yaliyofanyika? We ni mtu wa ajabu sana. Hivi unafahamu wkt tunapata uhuru kulikuwa na barabara ngapi za rangi??
Kwaiyo barabara ndio zitawapigia kura?
 
Hatuwezi kuwa na raisi mkurupukaji!!
 
Hii miaka mitano ya Lissu aisee tutahama nchi. Ili kua raia mwema na huru itahitaji uwe na certificate ya sheria maana abiria watasaini mikataba kabla ya kupanda daladala hehehe
 
MLISHINDWA KWA LOWASSÀ

SAHAUNII HATA UBUNGE MWAKA HUU
WAHUNI ATUPELEKI TENA DODOMA
TUNAANZA NA MBEYA ...MJINI ARUSHA MJINI NA KULE MOROGORO NDIO MTAELEWA HATA WAKUBWA ZENU AWATOKANYAGA BUNHENI
kajifunze kwanza kuandika, hapa umeandika makorokocho!.
 
Mi ndo maana nasema upinzani Tanzania kutawala bado Sana,Sasa kilichofanya waongeze ubeti ni nini hasa,?Mi Sina mzuka na CCM lakini uropokaji na kiherehere Cha upinzani kinaboa na vinawaponza kila siku hawakomi.Hadi wanaonekana kama wahuni tuu.
 
Lakini tukiachana siasa, au upendeleo wowote, kwanini wafanye walichokifanya? Who does that? Chadema nao wanashida nyie hata nchi mtaweza uza si bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…