Amesharudi Nguli wa sheria Lissu,kabla ya matamko yao ya kukurupuka wajiridhishe kwanza
+1Mwaka huu Uchaguzi unavutia sana...Maana Upinzani kama ni kucheza karata basi wamelamba DUME.
Sijakuuliza wewe. Tuliza mshono.Kamuulize mwenyewe . Sisi inatuhusu nini? Biashara yako na Mange huko huko
Choka salama tu mkuu, hayo mapambio yamiaka 5 hamyachoki, na mnaendelea kulishwa hayohayo kila uchaoMpaka uchaguz uishe oktoba, tutakuwa tumeshamchoka
Kwamba amevunja sheria kumjibu mitungiIla lisuu anapenda saana majibizano
Umeposti jamvini. Jibu ni halali kabisa. Uliwahi kushangaa huko nyuma kwamba huyu TL atagombea vipi akiwa nje ya nchi. Tukakushauri uvute subira. Jamaa katia timu. Kama una hoja leta ujibiwe.Sijakuuliza wewe. Tuliza mshono.
Ana hasira nao, mwacheni atoe nyongo. Ni afya kufanya hivyo
Kwani 2015 walikuwa hawafuatilii Chadema ndani ya CCM. Si mlikuwa munafuatilia ili mumuchukue Lowassa. Pigeni kelele.Kinachonifurahisha ni kuona hadi viongozi wa ccm wanafuatilia kinachoendelea ndani ya Chadema.
Umechoka wewe na Nani!Mpaka uchaguz uishe oktoba, tutakuwa tumeshamchoka
Da! Yaani Nyani umefilisika hivyo? Mutungi akila kinyesi - cha nani sijui - hatutashangaa sana maana watu wana njia nyingi za kujipendekeza kwa Magu. Ila najua Tundu Lissu atashauri astaafishwe na kupelekwa Milembe kwa matibabu.So? Kwa hiyo Mutungi akiwa wa kwanza kula kinyesi Lissu naye ataiga?
Yawe makubwa, yawe madogo, Tundu Lissu ana uhuru wa kuamua ajibu nini aache nini. Badala ya kuchambua jibu la Lissu, manawashwa na kwa nini kajibu. Hiyo ni FEMININE LOGICSasa kama ni madogo kwa nini mgombea wenu anahangaika nayo?
Mbona tayari tunaye?
Kaa kimya kenge wa kijani weweKwani 2015 walikuwa hawafuatilii Chadema ndani ya CCM. Si mlikuwa munafuatilia ili mumuchukue Lowassa. Pigeni kelele.
Hapana; ana matatizo makubwa sana ya kupungukiwa na busara.Karudi na moto ule ele kuna majinga yalifikiri akirejea atakua zuzu.
Sheria ya Jiwe,sura ya Bashite,kifungu Cha Musiba,kifungu kidogo Cha Lemutuz.Apunguze kiherehere kwa sheria ipi ?
Sorry typing error namaanisha BARABARA ZA LAMIHebu nionyeshe hizo barabara za rangi nikapige picha?
Wakati mwingine Chadema nao wanatafuta shari ambazo zinaweza kabisa kudhibitika..
Kwani wasingeimba hivyo walivyoimba wangepungukiwa nini?? Au ndio kujua washashindwa so wanatafuta sababu tu
Hata wewe ni Kenge subili October tuwa nyooshe.Kaa kimya kenge wa kijani wewe
Lissu is sharpHuyo Lissu naye apunguze kiherehere...