Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Sikunakienda segelea ndo mtajua hana unguli wa sheria,Amesharudi Nguli wa sheria Lissu,kabla ya matamko yao ya kukurupuka wajiridhishe kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikunakienda segelea ndo mtajua hana unguli wa sheria,Amesharudi Nguli wa sheria Lissu,kabla ya matamko yao ya kukurupuka wajiridhishe kwanza
Huyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Sikunakienda segelea ndo mtajua hana unguli wa sheria,
mpaka uchaguz uishe oktoba, tutakuwa tumeshamchoka
Foreigner mambo ya watz yanakuhusu vipi?Karudi na mototo ule ele kuna majinga yalifikiri akirejea atakua zuzu.
Busara, na uungwana usipotamalaki mamluki na vichaa ambao ni makuadi wa mabeberu watazidi kuyumbisha mustakabali wa taifa.... Watajitahidi kurubuni watu lakini hawatafanikiwa!
Tatizo huyu sumu ya risasi haijaisha kichwani. Ni mropokaji asiyejua kuwa ana mapingufu makubwa katika Tasnia ya sheria. Alituaminisha Serikali kuibana Barrick Gold tumebugi kumbe yeye ndie kilaza. Ubunge wake pia chali mahakamani. Anadhani anajua kila sheria na kiranja wa sheria nchini asichokijua sheria na siasa ni vitu viwili tofauti. Siasa ni mchezo wa kuviziana mno
Asingemjibu ingechukuliwa ni kweli ukitilia maanani wadhifa wa mzungumzaji. Naunga mkono alivyotoa ufafanuzi...Mutungi ameyakuza.
..but, I see your point kuwaTL angeweza kumdharau na kuacha kumjibu.
Kingunge alibadili jina?..duh!!
..hizi hoja ni za kizamani sana.
..ni hoja za kina Gizlar Mapunda na Keiton Ngombale[baadae Kingunge].
..na hao ni marehemu sasa hivi.
Nguruvi3
Inahusiana vipi?Sikunakienda segelea ndo mtajua hana unguli wa sheria,
Hadi Lissu anaapishwa urais asilimia kubwa ya watanzania washaijua sheria.Kweli Tundu Lissu amerudi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
This time mmepatikanaHuyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Mtakapo shughulikiwa tena mtaanza kulialia tunawajua kwa kulialia nyinyi wanasaccos!Tulieni dawa iingie.
Vuvuzela huyo!Uzuri wa lissu huwa hakopeshi
Kwa lipi?This time mmepatikana