Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Huyo ni Lissu tu hapo bado jembe letu Robert Amsterdam halijaja na vifungu vyake. This is Chadema
 
Sikunakienda segelea ndo mtajua hana unguli wa sheria,

Kwani kufungwa ni kutokujua sheria? Kwa Tanzania sasa hivi ukiwa mpinzani unafungwa kwa maagizo ya rais bila kujali sheria inasema nini.
 
Busara, na uungwana usipotamalaki mamluki na vichaa ambao ni makuadi wa mabeberu watazidi kuyumbisha mustakabali wa taifa.... Watajitahidi kurubuni watu lakini hawatafanikiwa!

..duh!!

..hizi hoja ni za kizamani sana.

..ni hoja za kina Gizlar Mapunda na Keiton Ngombale[baadae Kingunge].

..na hao ni marehemu sasa hivi.

Nguruvi3
 
Tulieni dawa iwaingie vyema maungoni.
Tatizo huyu sumu ya risasi haijaisha kichwani. Ni mropokaji asiyejua kuwa ana mapingufu makubwa katika Tasnia ya sheria. Alituaminisha Serikali kuibana Barrick Gold tumebugi kumbe yeye ndie kilaza. Ubunge wake pia chali mahakamani. Anadhani anajua kila sheria na kiranja wa sheria nchini asichokijua sheria na siasa ni vitu viwili tofauti. Siasa ni mchezo wa kuviziana mno
 
..Mutungi ameyakuza.

..but, I see your point kuwaTL angeweza kumdharau na kuacha kumjibu.
Asingemjibu ingechukuliwa ni kweli ukitilia maanani wadhifa wa mzungumzaji. Naunga mkono alivyotoa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom