Kingunge alibadili jina?
..alikuwa anaitwa Keiton Ngombale.
..alipoachana na dini na kuwa Mkomunisti ndiyo akachukua jina Kingunge Ngombale Mwiru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingunge alibadili jina?
Imeingia lakini ndio maana mnajibu kwa hasiraVuvuzela huyo!
Subirini mtaanza kulialia hapa very soon!Mwaka huu Uchaguzi unavutia sana...Maana Upinzani kama ni kucheza karata basi wamelamba DUME.
Mmh ngoma ikivuma Sana....Amesharudi Nguli wa sheria Lissu,kabla ya matamko yao ya kukurupuka wajiridhishe kwanza
Msajili alitakiwa awaeleze chadema sharia iliyo vujwa, sio kuishia uvunjivu wa sheria. Pia atambue kuwa nguli na gwiji la sheria limetua. Kama hamjui LISSU kamuulize kikwete, Alisha waonya ccm zamani kuwa, LISU kuingia bungeni bora SILAA ashinde urais. LUSSU ni namba nyingineMsajili ndio apunguze kiherehere akasome kwanza sheria
Mbona ujaji unanajisiwa na hawa vipara????Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu
Unajua madhara ya kunyamazia upumbavu/ujinga? Mbwa akikuzoea atakufuata hadi......!..Mutungi ameyakuza.
..but, I see your point kuwaTL angeweza kumdharau na kuacha kumjibu.
Si vizuri kwa wanaojua sheria kupuuza jambo la kisheria. Tutajuaje kama.hiyo ni sheria ya msajili aliyoitoa kichwani mwake au ipo kikatiba kama jambo hilo litapuuzwa?Sasa huyo Lissu si angempuuza tu huyo jaji...
Lissu naye kama Trump tu.
Mbona huyo msajili tulishamchoka siku nyingi?!?!Mpaka uchaguz uishe oktoba, tutakuwa tumeshamchoka
Sasa huyo Lissu si angempuuza tu huyo jaji...
Lissu naye kama Trump tu.
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu
kwa hoja au kwa mtutu na dolaSubirini mtaanza kulialia hapa very soon!
Ndio maana ni rais wa MarekaniSasa huyo Lissu si angempuuza tu huyo jaji...
Lissu naye kama Trump tu.
Watanzania tulikuwa tumepigwa sindano ya usingizi Lissu alipokuwa Ulaya, tulikuwa maboya hasa.Anajiingiza kwenye kumi nanae taraatiibuu
Alitaka aonekane.....mwenye kiherehere ni Jaji Mutungi.
..amelikuza jambo ambalo hakuna mtu alikuwa na habari nalo.
Kwanini wewe usimpuuze LissuSo? Kwa hiyo Mutungi akiwa wa kwanza kula kinyesi Lissu naye ataiga?
Sasa kama ni madogo kwa nini mgombea wenu anahangaika nayo?