Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Msajili ndio apunguze kiherehere akasome kwanza sheria
Msajili alitakiwa awaeleze chadema sharia iliyo vujwa, sio kuishia uvunjivu wa sheria. Pia atambue kuwa nguli na gwiji la sheria limetua. Kama hamjui LISSU kamuulize kikwete, Alisha waonya ccm zamani kuwa, LISU kuingia bungeni bora SILAA ashinde urais. LUSSU ni namba nyingine

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu

Mbona ujaji unanajisiwa na hawa vipara????
 
Attachments

  • TUNGIII.jpg
    TUNGIII.jpg
    126.8 KB · Views: 1
  • KAIJA! 1.jpg
    KAIJA! 1.jpg
    84.9 KB · Views: 1
Pale wanapanga kumtoa dikteta na kumleta mkurupukaji. Lissu atulie bado hajawa rais akiguswa kidogo tu atakimbilia tukio la risasi
 
Sasa huyo Lissu si angempuuza tu huyo jaji...

Lissu naye kama Trump tu.
Si vizuri kwa wanaojua sheria kupuuza jambo la kisheria. Tutajuaje kama.hiyo ni sheria ya msajili aliyoitoa kichwani mwake au ipo kikatiba kama jambo hilo litapuuzwa?
 
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu

Hivi huu ujaji aliupatake kama hata hajui kwamba wimbo haumo kwenye nembo wala sio mojawapo ya nyara za Taifa... ajitafakali kwa kweli ...
 
Mtungi, Kaijage wote vibaraka tu, hawana lolote..!! They're singing their master's voice.
 
Back
Top Bottom