Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hii imekaa poa kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka awe nani?Katibu Mkuu bado ni John Mnyika
Lisu ni dhehebu gani?Pole sana kwa walutheri wakiwemo askofu Shoo na Bagonza na waprotestant akina Askofu Mwamakula na walokole akina Askofu Mwanamapinduzi chama chenu cha Chadema wakatoliki wamechukua hatamu za chama kiko chini ya wakatoliki Lisu na Mnyika
Pole ziwafikie pia chama cha Christian Democrstic Union cha Ujerumani baba mlezi wa hiari wa Chadema kwa miaka nenda rudi
Myika ana Roho wa Mungu ndiyo sababu yupo authentic na reliable...Hana unafikia he is honest... Congratulations Mnyika, God be with you...Mimi CCM kindakindaki ila watu kama wewe huwa nawathamini kuliko wale ma opportunities waliojaa kwenye chama chetuMuadilifu na mcha Mungu, Mseminari kindaki ndaki hongera sana Mnyika
Tukumbukage Lissu na Lema walitokea hukooo NCCR enzi hizo. Hatimaye wamekamata usukani. Wanajuana vizuri.Lissu amtafutie kitengo Lema.
Jamaa mtu muhimu sana..
Nshala ana shida gani? Huyo atahusika na mambo ya kisheria tuSafi kwa Mnyika.
Nshala hamna kitu.
We sahv una cheo gani?! ewe mende wa mboe?!Ndio
Siyo shida sababu akina Mtei na Makani walitokea CCM huko.Tukumbukage Lissu na Lema walitokea hukooo NCCR enzi hizo. Hatimaye wamekamata usukani. Wanajuana vizuri.
Lisu amemsaliti lema, chadema watavurugana mapema sana.
Huyu mkewe ni covid 19Pia na Salim Mwalimu wote wamefanya Kazi nzuri .
Mambo ya uchaguzi yameisha na sasa ni muda wa kujenga chama.We sahv una cheo gani?! ewe mende wa mboe?!
Unataka nini?Lisu ni dhehebu gani?
Pamu hapa rudia tena kwa msisitizoWengine wakiruka juu yeye kazi yake itakuwa kuwawekea godoro ili wakishuka wasiumie.
Unadhani Lissu ameyapanga majina mwenyewe, Hapo kuna busara za Lema katika hayo yoteLisu amemsaliti lema, chadema watavurugana mapema sana.
😂 Wewe! Sasa chama kingekuwaje?? Maana wote ni 🔥 lazma awepo mtu wa kuponza banaTungeenda na Lema, Mnyika kafanya kazi nzuri ila ilifaa apumzike kwanza.
Yule jamaa ni kichwa na anatema hoja nyie subirini.Kwa kweli. Nshala Hana usiasa.
Tayari ni mjumbe wa CCLissu amtafutie kitengo Lema.
Jamaa mtu muhimu sana..