Pre GE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pole sana kwa walutheri wakiwemo askofu Shoo na Bagonza na waprotestant akina Askofu Mwamakula na walokole akina Askofu Mwanamapinduzi chama chenu cha Chadema wakatoliki wamechukua hatamu za chama kiko chini ya wakatoliki Lisu na Mnyika

Pole ziwafikie pia chama cha Christian Democrstic Union cha Ujerumani baba mlezi wa hiari wa Chadema kwa miaka nenda rudi
Lisu ni dhehebu gani?
 
Muadilifu na mcha Mungu, Mseminari kindaki ndaki hongera sana Mnyika
Myika ana Roho wa Mungu ndiyo sababu yupo authentic na reliable...Hana unafikia he is honest... Congratulations Mnyika, God be with you...Mimi CCM kindakindaki ila watu kama wewe huwa nawathamini kuliko wale ma opportunities waliojaa kwenye chama chetu
 
Back
Top Bottom