Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Huwezi kuweka sera zako bila kipaumbele za kwanza cha kumtoa mpinzani wako mwenye ufedhuli mwingi kutumia
Hao viongozi wa upinzani wana uhalali gani wa kuiondoa CCM madarakani kama wameweza kufisadi mabilioni ya ruzuku, jasho la WaTz? Huo ndio ufedhuli uliokubuhu wa kisiasa.

Kipaumbele cha kwanza wawaombe walipa kodi na wasafishe nyumba yao.
 
😂😂😂😀 CCM mnalo mwaka huu. Lazima mjue hamjui mwaka huu, dadeki, huyo ndo Tundu Lissu akili kubwa!
Akili kubwa itajulikana October 28, na hapo ndio tutakubaliana kukubaliana au tutakubaliana kutokukubaliana.
Tuombeane uzima tuu
 
Nimemjibu mwenye hoja kama yako. Kunakuwa na Chaguzi ili kuweka utawala wenye Sera/Mikakati mbadala si kwa lengo la kuondoana madarakani.
Ccm lazima muondolewe madarakani maana mmeshindwa kuwalinda na kuwatetea wananchi kwa zaidi ya miaka 60.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao viongozi wa upinzani wana uhalali gani wa kuiondoa CCM madarakani kama wameweza kufisadi mabilioni ya ruzuku, jasho la WaTz? Huo ndio ufedhuli uliokubuhu wa kisiasa.

Kipaumbele cha kwanza wawaombe walipa kodi na wasafishe nyumba yao.
Nani kafisadi nini??? Kesi imefunguliwa wapi na katiwa hatiani na mahakama ipi???
 
Saccos ni ccm yenye makao makuu yake chatou

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi akili zako zipo sawa? Naongelea ushindi wa JPM wewe unaleta mambo ya mpuuzi mwenzio Bashite! Don’t you know, to me Bashite is an idiot. Boy grow up
Leo hii unamnanga bosi wenu mkubwa? Baada ya kukosa kazi sasa hivi uvccm mna mkataa bossi wenu? Hasa wewe uliye kuwa unamsujudia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao viongozi wa upinzani wana uhalali gani wa kuiondoa CCM madarakani kama wameweza kufisadi mabilioni ya ruzuku, jasho la WaTz? Huo ndio ufedhuli uliokubuhu wa kisiasa.

Kipaumbele cha kwanza wawaombe walipa kodi na wasafishe nyumba yao.
Wamedisadi wapi na lini? Na kwanini hawajapelekwa mahakamani?
 
Kwanini asiwaambie wampigie jiwe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hata wewe umeona kuwa jiwe hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…