Unaota wewe. Lissu kamshika nani? Hatopata hata 5% ya kura.Kajipange upya mwana Ccm. Lissu kawashika vibaya na pabaya sana mwaka huu. Na ukweli ni kwamba hamna namna kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaota wewe. Lissu kamshika nani? Hatopata hata 5% ya kura.Kajipange upya mwana Ccm. Lissu kawashika vibaya na pabaya sana mwaka huu. Na ukweli ni kwamba hamna namna kwake
Vipi ushatoka lindo?Kumbe alilijua hilo kafuata nini zenji angetoa tamko huku huku bara dadadeeki Mbowe amle nyama!
Hao viongozi wa upinzani wana uhalali gani wa kuiondoa CCM madarakani kama wameweza kufisadi mabilioni ya ruzuku, jasho la WaTz? Huo ndio ufedhuli uliokubuhu wa kisiasa.Huwezi kuweka sera zako bila kipaumbele za kwanza cha kumtoa mpinzani wako mwenye ufedhuli mwingi kutumia
Akili kubwa itajulikana October 28, na hapo ndio tutakubaliana kukubaliana au tutakubaliana kutokukubaliana.😂😂😂😀 CCM mnalo mwaka huu. Lazima mjue hamjui mwaka huu, dadeki, huyo ndo Tundu Lissu akili kubwa!
Ccm lazima muondolewe madarakani maana mmeshindwa kuwalinda na kuwatetea wananchi kwa zaidi ya miaka 60.Nimemjibu mwenye hoja kama yako. Kunakuwa na Chaguzi ili kuweka utawala wenye Sera/Mikakati mbadala si kwa lengo la kuondoana madarakani.
Sawa kabisaAkili kubwa itajulikana October 28, na hapo ndio tutakubaliana kukubaliana au tutakubaliana kutokukubaliana.
Tuombeane uzima tuu
Nani kafisadi nini??? Kesi imefunguliwa wapi na katiwa hatiani na mahakama ipi???Hao viongozi wa upinzani wana uhalali gani wa kuiondoa CCM madarakani kama wameweza kufisadi mabilioni ya ruzuku, jasho la WaTz? Huo ndio ufedhuli uliokubuhu wa kisiasa.
Kipaumbele cha kwanza wawaombe walipa kodi na wasafishe nyumba yao.
Saccos ni ccm yenye makao makuu yake chatouHuu ni ulaghai wa kisiasa tu. Hili hata mtoto wa chekechea analijua kwamba Chadema Zanzibar hawana ushawishi wowote ule. Hawawezi kupata kura hata asilimia 1, kwahiyo suala la wao kumuunga mkono Maalim Seif hawapotezi chochote kile. Ni tofauti sana na ACT huku Bara, kuna maeneo wanakubalika, hivyo kumuunga mkono Lissu bila mkakati wowote ni kama wao watapoteza zaidi...
Ccm lazima aondolewe madarakani bila kujali kibra ipo wapi.Kajipange upya mwana Ccm. Lissu kawashika vibaya na pabaya sana mwaka huu. Na ukweli ni kwamba hamna namna kwake
Matapeli wakubwa ni ccmChadema wana ushawishi gani Zanzibar? Huu ni utapeli tu wa kisiasa.
Leo hii unamnanga bosi wenu mkubwa? Baada ya kukosa kazi sasa hivi uvccm mna mkataa bossi wenu? Hasa wewe uliye kuwa unamsujudia?Hivi akili zako zipo sawa? Naongelea ushindi wa JPM wewe unaleta mambo ya mpuuzi mwenzio Bashite! Don’t you know, to me Bashite is an idiot. Boy grow up
CCM wamemtapeli nani? Unadhani watu wamesahau CHADEMA walivyowatapeli UKAWA 2015?
Yupo siku hizi anashindwa hata kujieleza yeye mwenyewejecha yupo...?
Akikujibu nitag. Huwa wanakimbia haya maswaliNani kafisadi nini??? Kesi imefunguliwa wapi na katiwa hatiani na mahakama ipi???
Wamedisadi wapi na lini? Na kwanini hawajapelekwa mahakamani?Hao viongozi wa upinzani wana uhalali gani wa kuiondoa CCM madarakani kama wameweza kufisadi mabilioni ya ruzuku, jasho la WaTz? Huo ndio ufedhuli uliokubuhu wa kisiasa.
Kipaumbele cha kwanza wawaombe walipa kodi na wasafishe nyumba yao.
Ccm wamewatapeli watanzania kwa miaka zaidi ya miaka 60, kwa kuwatia umasikini na kuwajaza umasikiniCCM wamemtapeli nani? Unadhani watu wamesahau CHADEMA walivyowatapeli UKAWA 2015?
Unaumwa si bure! Soma comments zangu za miaka ilopita utajua kuwa I hate himLeo hii unamnanga bosi wenu mkubwa? Baada ya kukosa kazi sasa hivi uvccm mna mkataa bossi wenu? Hasa wewe uliye kuwa unamsujudia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kudanganya hapa, wewe ni kati ya walio kuwa mnamsifu na kumsujudia BadhiteUnaumwa si bure! Soma comments zangu za miaka ilopita utajua kuwa I hate him
Kwanini asiwaambie wampigie jiwe?Ndio mana ninaamini uchaguzi huu ni mwepesi sana. Yule mgombea wa Chadema urais wa zanzibar mtamwambia nini?
Kama mliyajua hayo kwanini mliacha mchakato uendelee?
Tusubiri mgombea wa Chadema atakaposema wanaChadema Zanzibar wampigie membe kura za ndiyo.