Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Mgombea Urais wa Tanzania Bara kupitia CHADEMA akiwa kwenye kampeni Zanzibar amesema Maalim Seif wa ACT-Wazalendo ndio sauti ya Wazanzibari kwa miaka 35, hajawahi kubadilisha msimamo wake juu ya kuitetea Zanzibar, kuna kila sababu ya kuungwa mkono kwa msimamo wake.
Amesema kuwa, "Kumuunga Maalim Seif mkono na ACT sio kuwasaliti watu wetu, ni kutambua ukweli ulioko wazi kwa kila mtu kwamba, hawa ni chama kinachoweza kuiondoa CCM madarakani".
View attachment 1562061