Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.

Mgombea Urais wa Tanzania Bara kupitia CHADEMA akiwa kwenye kampeni Zanzibar amesema Maalim Seif wa ACT-Wazalendo ndio sauti ya Wazanzibari kwa miaka 35, hajawahi kubadilisha msimamo wake juu ya kuitetea Zanzibar, kuna kila sababu ya kuungwa mkono kwa msimamo wake.

Amesema kuwa, "Kumuunga Maalim Seif mkono na ACT sio kuwasaliti watu wetu, ni kutambua ukweli ulioko wazi kwa kila mtu kwamba, hawa ni chama kinachoweza kuiondoa CCM madarakani".

View attachment 1562061

Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa Chadema amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoaajibu sasa
Ujina mtupu..et baada ya kusoma upepo.

Sio Lissu tu hata mimi Mkulima, Najua Zanzibar wanamkubali Maalim Seif.

Lait Maalim angekua Chadem, wala Lissu asingeaema haya.

Ni ujinga kudhania kua Chadema, Inaweza tikisa Zanzibar.

Ma CCM hayo yameumiaaaaaaa
 
AKILI YAKO KIDUCHU? KUNA MGOMBEA MWENZA ANAOMBEWA KURA? CHADEMA HAWANA MGOMBEA ZANZIBAR HIVYO WAMEMPIGIA MAALIMU
 
Mgombea Urais wa Tanzania Bara kupitia CHADEMA akiwa kwenye kampeni Zanzibar amesema Maalim Seif wa ACT-Wazalendo ndio sauti ya Wazanzibari kwa miaka 35, hajawahi kubadilisha msimamo wake juu ya kuitetea Zanzibar, kuna kila sababu ya kuungwa mkono kwa msimamo wake.

Amesema kuwa, "Kumuunga Maalim Seif mkono na ACT sio kuwasaliti watu wetu, ni kutambua ukweli ulioko wazi kwa kila mtu kwamba, hawa ni chama kinachoweza kuiondoa CCM madarakani".

Screenshot_20200907-201325_Chrome.jpg

Ndugu zangu, Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa Chadema amemnadi Maalim Seif. Muda unatoaajibu sasa
Mh. Lissu kweli anatisha! Yaani hata yale yaliyofyatuliwa kwenye mikesha ya mwenge yanafuatilia yanayojiri huko Zanzibar! Ulitaka Mh. Lissu amnadi nani huko Kisiwani?
 
Back
Top Bottom