sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Membe nae atajitoa au atabaki,hizo si akili.Hili jamaa akili mingi sana. Halafu ukweli huwa unatabia ya kutokujificha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe nae atajitoa au atabaki,hizo si akili.Hili jamaa akili mingi sana. Halafu ukweli huwa unatabia ya kutokujificha.
Ule mkutano wa kupitisha wagombea mlikuwa mnafanya maigizoumeona mgombea wa chadema akichukua fomu na kurejesha ?
Hawakujipanga,sijui Lissu kwanini anasaidia watu wasiomsaidia.Kama Membe hajiondoi,basi Lissu amesaidia CCM.CHADEMA wameanza kukiri udhaifu Sasa,
Hata hapa bara pia nako watabwaga manyanga.
kwani huyu anagombea udiwani?
Sasa mna tofauti gani na yule bwana anayekuwa na majina yake mfukoniNdiyo alishachukua lkn tunampango asirudishe fomu ya kugombea urais
Ccm jueni tu kuwa ile divide and rule program yenu imeshafeli kabla haijaanza mwaka huu!!Hawakujipanga,sijui Lissu kwanini anasaidia watu wasiomsaidia.Kama Membe hajiondoi,basi Lissu amesaidia CCM.
Unataka jibu la swali gani? Anayeficha ugonjwa kilio kinamuumbua. Muda si mrefu mtaumbuka. Naweka kumbukumbu ya mjadala huu.Nijibu maswali yangu! Acha kuweweseka mataga mkubwa wewe!!
Wewe umeuza Chadema asubuhi,kwani Membe ni Chadema?mbona hajajiondoa kuwania uraisi?Ccm jueni tu kuwa ile divide and rule program yenu imeshafeli kabla haijaanza mwaka huu!!
Ala, kumbe? Je, hayo mabilioni ya kodi yangu na wanannchi wengine, akiwemo wewe, hao viongozi wamefanyia nini ili nisiulize? Kama hao viongozi nao wawe na uhalali wa kuhoji kodi kutumika kwa maendeleo ya vitu. Je, wakipewa madaraka kutakuwa na usalama wa hazina na msliasili za nchi?Pumba kabisa.. nani kakwambia wananchi wanahitaji ofisi ya chama??
Boya!Ina maana CHADEMA hawajaweka mgombea Zanzibar?
Mwaka huu mtatafuta kura kwa tochi. Siyo bara wala visiwani.Maamuzi yote mazito ya chama huamuliwa na vikao vizito vya chama..
CHADEMA kupitia vikao vyake Halali vya kamati kuu, baraza kuu na mkutano mkuu waliteua mgombea urais wa Zanzibar
Lissu kasema kura za Zanzibar apewe Maalim Seif wa ACT wazalendo kajitamkia bila ridhaa ya kamati kuu, baraza kuu wala mkutano kuu.
CHADEMA Hayo maamuzi aliyotamka Lissu mlikaa kikao gani kuyaamua?
Mgombea wenu anavunja katiba ya CHADEMA mchana kweupe.
Sasa huyo mgombea mliyemwidhinisha kuwa agombee urais Zanzibar mbona mnatapeli mchana kweupe.
Mmeshikwa pabaya subiri bara Membe atoe neno mtajua mpango wa Mungu ulivyo toka kifo hadi Ufalme mtapata tabu sana wasalitiWajiondoe zanzibar sasa huyo mgombea wao yeye atamnadi T Lisu au atakuwa na kazi gani?
Hapo umenena kuliko huyo anayeomba WaTz wamwamini kumkabidhi nchi ati kwa nia ya kuiondoa CCM madarakani.Sasa kuna hoja kubwa kwenye uchaguzi huu zaidi ya hii??? Hakuna katiba mpya ya warioba bila CCM kutoka madarakani??? Hakuna uhuru wa Zanzibar bila CCM kutoka madarakani, Hakuna Uhuru, haki na maendeleo bila CCM kutoka madarakani!!!
Mnalo mwaka huu mataga [emoji23][emoji23][emoji3]
Ban utapigwa tu, maana hakuna namna nyingine, tatizo kwa hizi tabu unazopata kila siku, usije kwenda peponi na lichama lako la mboga mboga!Nmeshangaa mlkivyo wajinga na hamkujipanga!
Unajua kabisa chadema na act wana itikadi tofauti sasa unategemea mkishinda mtaingozaje?
Yani Lisu akivusha 20%ya kura nipigwe ban ya maisha hapa jf
Ona ng'ombe hii! Sasa kwanini kuna tume mbili za uchaguzi? ZEC na NEC kwa pamoja zinafanya kazi lakini independently sasa unategemea nini?Chadema ni wajinga sana!
Sasa hiyo ni nini?
Sasa hii nchi mtaitawala vipi?
Yani kule act huku chadema, nchi moja itikadi 2.
Hakuna system ya kijinga kugawa mchi vipande namna hii.
Sasa nilichokisema mimi ndo anachokimaanisha huyu kiongozi mbeba maono Tundu Antiphas LissuHapo umenena kuliko huyo anayeomba WaTz wamwamini kumkabidhi nchi ati kwa nia ya kuiondoa CCM madarakani.
Hoja zako (Katiba na Uhuru wa Zanzibar) zinajadilika na kuhitaji ridhaa ya WaTz, CCM iwe madarakani au la na si kwa kiongozi kuamua.
NEC siyo itikadi za vyama we kidagaa wa hapo ufipaOna ng'ombe hii! Sasa kwanini kuna tume mbili za uchaguzi? ZEC na NEC kwa pamoja zinafanya kazi lakini independently sasa unategemea nini?
Yaani akili za maccm za ajabu sana