Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Kwani huyo tu ndiye mlinzi mweusi wa mwendazake?
Tuleteeni mnaomsema nyinyi na ndio shida ya kuokoteza taarifa za Twitter maana hata yule malaika wenu aliwahi kumtaja huyu jamaa kwa kumuita dubwana.
 
Hata mimi nakushangaa kwa jinsi ulivyoshangazwa na lumumba akimshangaa lisu wakati uhalisia unajulikana jiwe alikuwa ni raisi wa namna gani

Mimi naangalia hoja iliyowekwa mezani siangalii watu wanamaoni gani juu ya hoja hiyo.

Kwani ni uwongo kwamba jiwe haku criticize ushauri wa kisayansi? Kwani hoja ya lisu aliyosema kua jiwe alikandamiza haki za binadamu na uvunjifu wa sheria ni uwongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…