Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Kosa la kwanza ni wewe kuweka picha ya mtu bila kuwa na uthibitisho kwamba ndiye mlengwa aliyekusudiwa

Una uthibitisho gani kwamba huyo pichani ambaye mtoa mada kamuweka ndiye alikuwa anazungunziwa na lisu?
Sijaweka picha yoyote mimi...Mkuu uko sawa kweli?
 
Hata kama hajataja jina. Maelezo aliyoyatoa yanaelekeza kwa huyo jamaa.

Lissu ni mropokaji mno.
Kwani huyo jamaa ndio wewe nini? Mbona una uhakika sana, wewe ulimuona mwisho tarehe 26 unajua leo tarehe ngapi? Suala la kifo ni sekunde tu, inawezekana ikawa jana au juzi jamaa karudisha namba, mimi sijui lakini ni maoni tu.
 
Tundu Lisu ni mgonjwa ila pia ana matakataka mengi yanamfuatilia sana na yanakubaliana na kila asemacho makondoo
 
Ukweli Lisu anahitaji ushauri, mengi anayoongea yantia ukakasi hasa ukichukulia yeye ni Raisi tunayemtegemea miongoni mwa wapinzani. Lugha anayotumia haikumpasa yeye aitumie ila wahuni wa mitaani. Mimi najua Lisu aliumizwa sana na hata ningekuwa mimi ningeumia ila kwa kitendo cha kumuacha akarudi na kugombea Uraisi na kupewa ulinzi wakati wote wa kampeni kwangu mimi ilikuwa ni watawala kujirudi kinamna na kujutia matendo yao ingawa ningumu kusema hadharani. Lisu amepata muda wa kutosha kuachilia hasira na kusamehe kwani Mungu ameshaingilia kati na hakuna sababu sasa ya kuendelea kuisema maiti ambayo haisikii tena. Namuomba Lisu popote alipo asamehe na kuanza upya kwani kama Mungu asemavyo Warumi 12:19 - kisasi ni chake Mungu.
Mliokaribu na Lisu msaidieni kiunasihi atulie kwani anapigana vita ambayo Mungu ameshamshindia.
 
Tatizo nyie kila kitu mnataka kubadili maana. Kwenye hili Lissu alikuwa very direct na maelezo yake ni kana kwamba kama Mtangazaji anamjua JPM lazima amjue huyu ukitoa yule mwanajeshi! Very direct, hivi hadi ujinga kama huu mnateteaga nini? [emoji56]
Halafu hilo neno nyie nyie mimi na nani? Mbona una hasira sana?
 
Kwani huyo tu ndiye mlinzi mweusi wa mwendazake?

Nani mwingine? Shida ya kumchukia sana mtu na Hakuna unaloweza kumfanya, linakufanya uwe mtumwa wake. Kiakili na hata kimatendo.
TL hana namna ila kusahau yaliyopita. Anaweza kabisa kuangalia namna ya kuanza upya mambo. Akiendelea kujinasibu kwa kumtusi JPM ambaye ameshatangulia mbele ya haki, atageuka mnara wa chumvi muda sio mrefu
 
Lisu ana hasira sana kiasi kwamba kila hoja anayotoa anaitoa kulinagana na hasira zake
 
Maelezo ya Lissu ni dhahiri kamaanisha huyo jamaa! Hata mimi nimemshangaa sana. Tena akasisitiza sio yule mwanajeshi bali yule mweusi sana pande la mtu anayesimama pia karibu na JPM! Huyu jamaa ipo shida mahali ....
Shida ya Lisu ni saikolojia!

Zile risasi zilimuathiri kwenye ubongo.

Ili Lisu apone inabidi awekewe watu wasiojulikana mbele yake kisha apewe SMG awatandike wote risasi kama kulipa kisasi hapo angalau saikolojia yake itakaa vizuri.

Hivi hivi Lisu atakuwa amepona kimwili tu ila kiakili bado ana majeruhi.
 
NI KWELI KWENYE SECURITY DETAIL YA JPM KUNA MLINZI ALIFARIKI SIKU CHACHE TU KABLA AU BAADA YA KIJAZI ....NA WAKATI AKIUMWA JPM MWENYEWE ALIENDA KUMTEMBELEA PALE EMMILIO MZENA ...MAJINA YAKE YANA INITIAL AM ....LAKINI SIO HUYU ...TUSEME SOURCE ZAKE ZIME MISINFORM ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…