Tundu Lissu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui

Ndomana ni kheri kwake kama angeichapa hotuba Kwa maandishi aende na kuusoma kupitia kipaza sauti.
Kwenye majukwaa ya siasa za ujenzi na kuimarisha chama, hotuba za maandishi ni sumu ambayo itaboa audience yote na hutapata wasikilizaji unless uwe umewabeba kwa malori na kuwapa posho kama wafanyavyo CCM maana hao watakuwa watumwa wako hata kama unamwaga uharo, watakuvumilia tu kukusikiliza hadi mwisho hata kama watakuwa wanasinzia...

Hotuba za kuandika huwa ni za wale waliokariri kilometa za barabara, vyumba vya madaraka, madaraja na matundu ya vyoo ili kuepuka kusahau

Kwenye majukwaa za uimarishaji chama kama wanavyofanya CHADEMA sasa, unakwenda na kuzungumza na wananchi juu matatizo ya Kila siku na mengine hutoka hapohapo Kwa njia ya maswali au kusema wao kuwa tuna shida hii au ile. Na kazi yako ni kui - address changamoto ipasavyo..

Tundu Lissu namkubali sana huyu jamaa. He's an expert kwenye hili. He's a very good public speaker. Anajua kuteka akili na mawazo ya hadhira. Hakuna mtu aweza kuondoka asipende kuendelea kumsikiliza hatua kwa hatua..

Fuatilia mikutano yake inayoendelea Kanda ya ziwa utathibitisha hili nisemalo..

NOTE: Fuatilia mkutano wa Chato YouTube channels siku mbili tatu zilizopita. The guy was at his best na Kila mwa- Chato aliyefika na kusikiliza nondo za jamaa siku hiyo ali - appreciate kuliko kawaida...

The same happened at Misungwi - Mwanza today. Again, Tundu Lissu delivered and he was at his best..!!
 
Mambo yamebadirika sana; kumbe porojo siku hizi ndizo zinaitwa hoja?! Dunia inaenda kasi sana kwa kweli.
 
Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo

Andiko langu litakua fupi sana

Mh lissu na mwana Mungu Mungu akutunze ,akulinde na akukumbatie popote ulipo

Spana zako chache sana ,wahujum nchi tunaanza kuwaona wakiinua vichwa,
Mungu akawe na wewe
 
Huyu mwana Mungu lissu ,inaonesha wazi Mungu analipenda taifa lake , ipo siku atakuja kuwa Rais wa nchi hii asema Bwana
 
Huyu mwana Mungu lissu ,inaonesha wazi Mungu analipenda taifa lake , ipo siku atakuja kuwa Rais wa nchi hii asema Bwana
Nakama hao wajitayo deep state, hawalioni hili basi hakuna sababu ya kuwa pale Bwana ataenda kuwaondoa na gharika itakua juu yao, why nchi zingine ziwe sawa ambazo tumepata uhuru nao sisi tuko vilevile , Taifa latakiwa sukwa upya na tuanze upya , watz mpeni mwanasheria huyu asafishe njia

URAIS ni mgum na sio yoyote anaweza kuwa Mungu wangu anasema huyu ndo wa kulivusha Taifa na Mungu wangu Mwaminifu sana , nilimwambia mwendazake akazarau pitia hapa jf ,sasa nasema tena ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…