Hizo zilikuwa propaganda za kishamba lakini wizi upo CCM ndiyo maana CAG alitolewa kafaraZile billion mwenyekiti wa saccos alizouza chama mwaka 2015,umezisahau?. Je zile za wabunge waliokuwa wanakatwa mbona hamhoji mwenye chama. Kama kuna wapigaji, saccos namba Moja. Endeleeni kukusanya michango, kwenye hizo nyomi.
Ni wezi ndiyo maana wananchi ni masikini wa kutupwaUkisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi...
Bil 900 michango ya tetemeko Kagera? Bil 200 alileta Bill Gates? Na wewe unadai una akili timamu?Kuna vitu vengine ata km shule ukwenda unaona kabisa live...
Jipe moyo hata Malawi Kenya Gambia Ghana Congo waliwahi kuwa na mawazo kama yako na leo hii vyama vingine vipo ikulu, hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa, wapo wapi akila mabutu, Abacha, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Iddy Amin Dada na Elbashiri wa Sudan?Mwacheni Lisu aongee anacho taka maana ni sehemu ya tiba kutokana na yaliyompata...
Hili jina la JIWE anajiita mwenyewe tafadhali.Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Cash na madini vyote vilivyokamatwa Airport mipakani Bandarini nk vipo wapi?hakuna uongo jpm ni mwizi wa fedha za umma sema sheria hairuhusu ashitakiwe akiwa bado madarakani
Kwa ushahidi wa kuiga kila kitu kutoka kwaoMbona wao wanamwita kibaraka kwa ushahidi gani?
Kununua ndege kwa cash ambayo haijapitishwa na bunge na kujenga uwanja wa ndege chato bila kupitishwa na bunge siyo wizi? Kilangila.Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.
Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Raisi Magufuli Mwizi pamoja na MaRaisi wote waliopita isipokuwa Nyerere...
CCM wakienda kuomba omba misaada toka ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa CCM hugeuka na kuwaita mabeberuKwa ushahidi wa kuiga kila kitu kutoka kwao
Wapinzani wa hizo nchi hawakuwa wahuni kama wa hapa kwetuJipe moyo hata Malawi Kenya Gambia Ghana Congo waliwahi kuwa na mawazo kama yako na leo hii vyama vingine vipo ikulu, hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa, wapo wapi akila mabutu, Abacha, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Iddy Amin Dada na Elbashiri wa Sudan?
Hata kupita trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara ni wizi mkubwa, CCM ni ile ile ukoo wa panyaKununua ndege kwa cash ambayo haijapitishwa na bunge na kujenga uwanja wa ndege chato bila kupitishwa na bunge siyo wizi? Kilangila.
Nao ni ushahidi wa mazingira sio?Kwa ushahidi wa kuiga kila kitu kutoka kwao
Una stress tafuta video ya yule dada wa IFM ujiliwaze nayoWewe nani alikutuma ukampige risasi? na ulitaka ukimpiga risasi akae kimya ili iweje? wewe hapo ulipo una chuki kubwa dhidi ya Lisu hata akuelezee nini juu ya kutekeleza maendeleo utaishia kubisha tu, CCM wameleta maendeleo yapi? Miradi yote mikubwa ina ufisadi 10%za wajanja wachache huko CCM
Anawafumbua macho ili muende wapi ? 😂, Nyumbu bn..!Alie itwa mwizi akanushe mwenyewe kampuni ya mayanga na mengineyo kaa kwa kutulia mkuu mnyolewe make Lissu anatufumbua macho tulikua hatujui wengi.
Kwenye like tetemeko michango ilifika bil 900? Bill gates alitoa bil 200? Kuhusu kutumika si zilikarabati majengo ya serikali! Au hufahamu? Acha kupinga kila kituTukuhoji ww km akili unazo nan kazidai tunahoji zimetumikaje ? F
Ndio kamanda! october 28, 2060!Dawa imewaingia eeeh? Ndo mana tunataka tubadirishe mfumo wa utawala wa nchi hii maana nchi hii sasa kwa mfumo huu viongozi pekee ndo watakaokuwa na ukwasi wa kutisha huku wananchi wengi wakiwa masikini wa kutupwa. Ndo mana CCM mnalishwa matango pori kukataa mfumo mpya wa utawala wa nchi hii maana viongozi wetu wa sasa wanatumia mfumo huu huu kutubabua vibaya sana!
Mwambieni Magufuli arudishe ardhi ya watu aliyopora na kujianzishia ranch.
Dawa yenu ni October 28 tu!
Sipendi wafuasi wa Cdm ambao hawatumii akili. Kuwa na facts bil 900 + bil 200!Tukuhoji ww km akili unazo nan kazidai tunahoji zimetumikaje ? F