mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Vifaa vya kijeshi havijadiliwi, ji cheki kijaaaaaaPia zipo wapi bilion 252 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, kipo wapi kivuko cha Dsm Bagamoyo?
PAC ilitoa majibu gani bungeni?Wewe unatumia Akili ipi kuitafuna trilion 1.5 kisha utake watu wakae kimya?
Hivi nyie Mataga nani huwa anawatoa akili?Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.
Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Raisi Magufuli Mwizi pamoja na MaRaisi wote waliopita isipokuwa Nyerere...
Kwani nani alimwita Jiwe Jiwe? Je wajua yeye mwenyewe ndiye alianza kujiita Jiwe au huna hizo taarifa?Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Siyo mambo hayo kutufumbia wengine akili zetu nzito AHM, FTS, BWM. Nimeambulia kumtambua Jiwe tuKuna masheikh wako jela miaka 7 sasa, mbona serikali imeshindwa kupeleka ushahidi mahakamani?
Wafanyabiashara wanabambikiziwa kodi ili kuwatemesha mpunga...
Hujui ulisemalo, kajoe ulaleUkisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi..
[SUP]kitendo cha matumizi ya lugha chafu hakikubaliki katika jamii ya kitanzania. Washabiki wake wajitafakari mara mbili mbili. Ndio maana mimi nimeamua kukubali kuiunga mkono CCM, na kumuunga mkono Magufuli.[/SUP]
😲😲 jamani hii hatari mtamponza mwenye namba hiyoDoto katibu mkuu wizara ya pesa ni mtoto wa nje wa mtukufu ukitaka ukweli mpigie huyu 0715132277 sele anamjua vizuri atakupa story zote kwani anajua udhaifu mwingi wa mtukufu
Jiwe akikubali mdahalo kukutana na Lissu nakufa hapo hapoTUNATAKA MDAHALO WA WATIA NIA WOOOTE
Kwenye ukweli lazima tuzungumze ukweli, na mara zote ukweli huwa unakuwa mchungu.Always lugha chafu ni upinzani,
Wanaoshindwa Kujaza form za ubunge ni upinzani...
Jinsia gani wewe? Mbona uko na hulka za mabinti kusutana na mipasho? Hoja hiyo si kuna kesi TAKUKURUCCM? Tuambie na utupe ushahidi wa kuuzwa kwa chama 2015, otherwise mataga mwaka huu mtataga na wewe ushaanza kutagaZile billion mwenyekiti wa saccos alizouza chama mwaka 2015,umezisahau?. Je zile za wabunge waliokuwa wanakatwa mbona hamhoji mwenye chama. Kama kuna wapigaji, saccos namba Moja. Endeleeni kukusanya michango, kwenye hizo nyomi.
Kuwa Magufuli ni muovu?Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Kwenye ukweli lazima tuzungumze ukweli, na mara zote ukweli huwa unakuwa mchungu.
Huyu ni Ray Kigosi, sifa kuu hafuati script yeye hufoka tuScript waliyo kupa ume ikosea sio hiyo.kachukue mpya ii hau iwezi
Sera zipo na nyie hamtaki kuzisikia ndo tatizo linapoanzia hapo.Yan mtu akiwa mapinzani tu anakuwa kama amepoteza haki zake
Achen hayo mambo
Leteni sera za madaraja achaneni na sera za matusi
Walijua kampeni ni lelemama, kampeni sio jambo la mchezo. Kampeni tu wanahema je wataweza kuiongoza nchi hii.[emoji116]Kampeni sio lelemama wanachemshaView attachment 1578150