Tundu Lissu anakaguaje ujenzi, maendeleo na uhai wa chama usiku? Je, sheria inaruhusu?

Tundu Lissu anakaguaje ujenzi, maendeleo na uhai wa chama usiku? Je, sheria inaruhusu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama

Je, isingewezekana mkutano wa CHADEMA Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyo anatafuta choko choko.. dk 15 zake karibia zinakwisha..
 
Polisi na CCM mmefaidika Nini kwa kumzuia Tundu Lissu kwa zaidi ya masaa Tisa? Kama hamna mlilofaidika, kulikuwa na haja gani, au ulazima gani wa kufanya hivyo?

Kadiri mnavyojaribu Kum frustrate ndivyo anavyokuwa maarufu zaidi. Halafu hizi figisu zenu jumuiya ya kimataifa inaziona. Mbona mgombea wa CCM ham mistreat Kama mnavyo mfanyia Tundu Lissu?
 
Kwani kuna shida gani mkuu?mimi huwa naenda saa nane usiku site kuwakagua walinzi kama wamelala au wanalinda,kwani Lisu hana hiyo haki kwa mujibu wa kanuni zenu za Lumumba?
Naulizia kanuni za nchi siyo za Ufipa bwashee!
 
Maendeleo hayana vyama![/QUOTE]Muda mchache mambo mengi...sheria inaruhusu nikutane na yeyote,popote,muda wowote...

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Ni Nini kilichokuwa kina hatarisha Usalama wake?
Je Kama mchana kweupeeeee hakuwa salama vipi usiku?
Polisi wanatia aibu kupokea order kutoka kwa CCM.
Bwashee usibishane na intelejensia ya polisi!
 
Back
Top Bottom