kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Mmekwama na kanuni zenu za Lumumba ?Naulizia kanuni za nchi siyo za Ufipa bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmekwama na kanuni zenu za Lumumba ?Naulizia kanuni za nchi siyo za Ufipa bwashee!
Intelligence ya form four failuresBwashee usibishane na intelejensia ya polisi!
Ungeuliza pia kama kuna sheria inayoruhusu watu kulala usingizi kitandani mchana wakati usiku uko kwa ajili hiyo....!Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Tume ya Taifa ya uchaguzi, Leo walimbadilishia Ratiba ,wamempangia iwe usiku.Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama...
Inavunjwa katiba,upo kimya.Naulizia kanuni za nchi siyo za Ufipa bwashee!
Katiba ya Nchi inaruhusu mikutano ya ndani hata usiku wa mananeMimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama...
Itakuwa inaruhusiwa, maana alizuiwa kufanya mchana na kuruhisiwa kufanya usiku.Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe ndiye utoe kifungu kinachokataza kufanya shughuli hizo. He who alleges must prove!Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?...
Unafahamu walimzuia saa ngapi?Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee lakini na wewe ni nunda, ndorobo kabisa [emoji23][emoji23]. Mlipowatuma wale kunguni wenu wamzuie mlikuwa mnawaza nini? Kazi ya jana aifanye leo kwasababu gani? Endeleeni tu kujikaanga na mafuta yenu. Mmemuweka kwenye chati wenyewe. Jana kapiga press kimataifa bila jasho.Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Baba yako mzaziMangulla yupi bwashee?
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama