Tundu Lissu anakaguaje ujenzi, maendeleo na uhai wa chama usiku? Je, sheria inaruhusu?

Lissu amekufanya ukeshe sambamba na askari
 
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama

Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Ungeuliza pia kama kuna sheria inayoruhusu watu kulala usingizi kitandani mchana wakati usiku uko kwa ajili hiyo....!
 
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama...
Tume ya Taifa ya uchaguzi, Leo walimbadilishia Ratiba ,wamempangia iwe usiku.
 
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama

Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Itakuwa inaruhusiwa, maana alizuiwa kufanya mchana na kuruhisiwa kufanya usiku.
 
Kamati kuu ya chama tawala MaCCM tangu enzi ya mwalimu wanakutana vikao vya usiku hadi asubuhi na kukicha anafukuzwa mtu. Hii ya Lissu wailizwe polisi kwani wasingemzuia angemaliza kweupe.

Policcm ndio shida kwa kuwa wanafuata amri badala ya kanuni za kazi yao nukta
 
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama

Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?...
Wewe ndiye utoe kifungu kinachokataza kufanya shughuli hizo. He who alleges must prove!
 
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama

Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Unafahamu walimzuia saa ngapi?
 
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama

Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee lakini na wewe ni nunda, ndorobo kabisa [emoji23][emoji23]. Mlipowatuma wale kunguni wenu wamzuie mlikuwa mnawaza nini? Kazi ya jana aifanye leo kwasababu gani? Endeleeni tu kujikaanga na mafuta yenu. Mmemuweka kwenye chati wenyewe. Jana kapiga press kimataifa bila jasho.

Kwa taarifa yako tume, msajili wa vyama, Polepole, Bashiru na jeshi la Polisi sasa hivi wanawahujumu halafu vijibwa mmeachwa mnabweka huku JF. Malkia wa mchwa wewe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huyu kibaraka wa mabeberu kuna analolitafuta sio bure,naona yupo kisharishari tu.
 
[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
4890980.jpg
 
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama

Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!

Kama kuna umeme na taa za kutosha, pamoja na taa za ku-charge, pamoja na makarabai, sioni shida. Kwani wewe uwezi kwneda ofisini kwako au shambani kwako usiku na kufanya shughuli zako? Je, kuna sheria sasa au hali ya hatari ya kutokutembea usiku?
 
Kumbe na wewe bichwa kifuu cha nazi ati ee[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama

Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ivi CCM nikwamba huwa mnajitia upofu?? Ni unafiki ulipitiliza???

Aiseee mnamarafiki kweli????
 
Lawama zote ni kwa polisi ndio wamesabisha afanye mkutano usiku
 
Hofu yangu polisi walivyo,Leo wanaweza wakamzuia asirudi Dar.
 
Back
Top Bottom