Mbowe alisema aliimarisha matawi kwa mbinu tofauti na chama kiliendelea kukuwa kwa mbinu. Yeye huyu mtaalamu wa sheria alikalia kuzunguka ulaya, sasa ndo anakumbuka matawi. Matawi wakati wa kampeni! Namuona kama juha vile!Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!