johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mji gani hapo DenmarkParuaneni mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza nikirudi nikute hali shwari Jitahidini mparuane vzr
Mangulla yupi bwashee?sheria haikatazi. enzi tuko chuo tulikuwa tunakutana na Mangula usiku tunasikiliza utopolo tunapata hela ya kula kesho yake.
Kinafanya kazi kwa mujibu wa sheria?!Pole sana.
CHADEMA ni hatua nyingine. Chama kinafanyakazi usiku na mchana.
Karibu.
Mji gani hapo Denmark
Naulizia kanuni za nchi siyo za Ufipa bwashee!Kwani kuna shida gani mkuu?mimi huwa naenda saa nane usiku site kuwakagua walinzi kama wamelala au wanalinda,kwani Lisu hana hiyo haki kwa mujibu wa kanuni zenu za Lumumba?
Tundu Lisu alizuiwa kwa ajili ya usalama wake bwashee!
Nimekuelewa bwashee!Ukiona ameachwa basi ujue hakuna madhara yoyote
Kinafanya kazi kwa mujibu wa sheria?!
Ni Nini kilichokuwa kina hatarisha Usalama wake?Tundu Lisu alizuiwa kwa ajili ya usalama wake bwashee!
Bwashee usibishane na intelejensia ya polisi!Ni Nini kilichokuwa kina hatarisha Usalama wake?
Je Kama mchana kweupeeeee hakuwa salama vipi usiku?
Polisi wanatia aibu kupokea order kutoka kwa CCM.