Tundu Lissu anakaguaje ujenzi, maendeleo na uhai wa chama usiku? Je, sheria inaruhusu?

Mbowe alisema aliimarisha matawi kwa mbinu tofauti na chama kiliendelea kukuwa kwa mbinu. Yeye huyu mtaalamu wa sheria alikalia kuzunguka ulaya, sasa ndo anakumbuka matawi. Matawi wakati wa kampeni! Namuona kama juha vile!
 
Lisu anawafanya maccm, mapolisi, tume na wadhalimu wote kama wewe shosti zygot wajue hawajui chochote. Ni spana mdomoni, spana zaidi katika matendo. Spana! Spana! Spana. LISSU katupa msamiati mpya pale Kiluvya. Amemaliza hotuba kwa kusema "It's late, but it's okey. Tuko tayari kuingia magogoni.
 
😃😃😃unashabikia vitimbi.. au!!!

Magogoni ya ubelujiji ndio mutaingia..
 
Maswali gani haya, ile ya kitanda kwa kitanda, shuka kwa shuka ufanywa mchana?
 
Wananchi walikubali kwenda usiku wote huo? Badi huyo mtu atakuwa anakubalika sana na wananchi!
 
Polisi ya Sirro ni Zerro
 
Sisi tulishaambiwa kuwa ni "dona kantri" sasa hizo nchi si wanapiga kazi hadi usiku hakuna kulala ni shift tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…