Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaporomosha wafuasi wa Magufuli kila saa kila siku kwa kasi ya ajabu, JK anaingia rasmi ulingoni kupambania jahazi

We sayans ya siasa unayoijua ni ipi...?
 
mazuzu ya ccm bwana kwa hiyo sayansi ya kukariri ya ccm ndio unaijuwa wenzako wanakwenda kwenye makao makuu ya kanda zao tuliza hayo makalio yako kwanza
 
Yaani nafurahi sana mnavyojipa moyo!
 
Ila tujihadhari lile li Hutu linaweza kuagiza tumiminiwe risaso za moto!
 
Kwa bahati mbaya sana Kikwete hana ushawishi wowote , 2015 alipoongoza kampeni Magufuli aliambulia patupu , 3 unusu dhidi ya zaidi ya 10 za UKAWA
Atafanya makaburi yafukuliwe bora angejipu.zikia zake tu kila mtu apambane na hali yake
 
JK hana muda kivile na huyu mzee swaiba wa magu ni Ben mkapa aliyetupisha kwa uchaguzi wa mwaka huu
 
Kampeni za Lisu ni za kurukaruka, Dar, Arusha, Mwanza, Shinyanga, leo Dodoma! Na kite huko anapita kwa kuhutubia mikutano mmojammoja!
Siasa ni sayansi bro!
Ngoja tukuelimishe wewe robot la Lumumba. CHADEMA wanazindua kwanza kwenye kanda ndiyo maana unaona anafanyia mikutano yake kwenye makao makuu ya kanda. Baada ya hapo ndipo waanze kupita jimbo kwa jimbo, bampa kwa bampa! Umeelewa wewe kalio la panzi?
 
kiboko yenu hawa
 

Attachments

  • IMG_2631.MP4
    5.3 MB
Mambo yamebadilika tena maeneo ya kanda ya ziwa watu wamechoka na sera za ccm angalia hapa jinsi huu ni mkutano wa magu Bariadi leo huwezi amini licha ya mabasi na malari kabao ya kusomba watu kama unavyoona hapo lakini kampeni za magu zimekuwa kama za udiwani.
 
tusubirie amri ya kutotoka nje
 
Upinzani ulishakufa tangu 2015, JPM kwasasa anafanya kampeni ili kutimiza matakwa ya Chama chake.
Rais Magufuli yuko very relaxed kwenye kampeni za mwaka huu. Hakuna ushindani kabisa zaidi ya blah blah za vijana wawili watatu JF!
 
Nilikuwa na Baba Sebuleni yeye ccm janaalikiri KUMLINGANISHA LISU NA MAGU NIKUMWONEA MAGU
Sasa dogo, kama baba yako ukazaliwa 1985, si lazima akiri maana wote ni watoto mtoto baba na mtoto mwana.
 
Upinzani ulishakufa tangu 2015, JPM kwasasa anafanya kampeni ili kutimiza matakwa ya Chama chake.
Kama upinzani haupo kwnn anafanya kampeni? c kashapita bila kupingwa Sasa anafanya kampeni za nn kwn Ni lazima??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…