Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaporomosha wafuasi wa Magufuli kila saa kila siku kwa kasi ya ajabu, JK anaingia rasmi ulingoni kupambania jahazi

Hv kwa tume ipi ya uchaguzi? hii hii au nyingine.Ok tusubiri wakati utakapofika
Ishi kwa imani , unadhani kura zikitosha unakimbilia wapi?

Jammeh alichapwa kwenye sanduku na tume ilikuwa yake mwenyewe
 
Kwa taarifa tu ndugu yangu lisu kuingia ikulu itakua ni ndoto, nasema hivyo kwakua tangu kampeni zianze, nimekua nikisafiri sana tu mijini na vijijini ninacho kiona kwa vijijini watu wote wako na magufuri, naandika ujumbe huu nikiwa ruvuma huku kuna sehemu inaitwa rituhi kwao na hayati mzee komba huku,kila mtu ninae muulizia anasema magufuri tu yaani lisu hawamjui,nasio huku tu mm nazani chadema inabidi waongezee nguvu na vijijini,wasipo fanya hivyo watakuja na habari ya kuibiwa kura kumbe wamembea kwa kuweka nguvu zaidi mijini pekeake na kusahau vijijini niushauli tu.
 
Unajidanganya!! Unajifariji!! Lissu hatofikisha Kura hata Milion 4,
Tundu anafikishaje kura million 4?
Kumbuka
Chadema haina wanachama zaidi ya Million 2.
Wakati huo CCM Ian wanachama zaidi ya Million 15
Na jumla ya wapiga kura wote ni million 29

Wasijisahaulishe hata 2015 zile kura walizopata kulikua na mtaji wa wanachama wa CCM waliomfata Lowasa Chadema. Na sasa wameondoka wao pamoja na wale waliamua kuunga mkono juhudi za rais John Pombe Magufuli hadharani + plus wale wanaoziunga mkono bila kutangaza
 
Hali mbaya CHADEMA

Hawajui wafanyenye.

CCM baba Lao

Magufuli [emoji870] Tena
 
mahesabu ya makaratasi hayo mwaka huu Lisu anapata kura zaidi ya mln10, ccm wenyewe walishamchoka magu wanaimba naye tu majukwaani kinafiki, subiri tareh28 oct kwenye chumba cha siri
 

Leo anasema ametenda dhambi gani atawale miaka mitano tu? Kwakweli Lisu kiboko ametufumbua macho tuone hatari iliyombele yetu.

Hata kama lisu atafanyiwa figisu ila ni mbaya sana mzee baba kutawala huku ukitambua watu hawakupendi.

Yaani hata ndani ya kile chama chenyewe wanamchekea tu ila fyekeo limo moyoni mwao.
 
Nilikuwa na Baba Sebuleni yeye ccm janaalikiri KUMLINGANISHA LISU NA MAGU NIKUMWONEA MAGU
Unavimba humu Jamii forum kumbe bado unaishi kwa babaakoπŸ˜‚πŸ˜‚. Halali umpinge hata Magufuli because you know the price of things not the value πŸ˜‰.
 
Damn! Sema kwa umoja na siyo wingi mkuu.
 
Mkuu Daudi, hivi Mwita Waitara ni nani yake na Generali Mstaafu Waitara ?
wakuria wanafanana majina tu.
waitara anayegombea ubunge musoma vijijini ni mlevi flani tu wa k.vant hana uhusiano wowote na Generali Waitara.
 
mahesabu ya makaratasi hayo mwaka huu Lisu anapata kura zaidi ya mln10, ccm wenyewe walishamchoka magu wanaimba naye tu majukwaani kinafiki, subiri tareh28 oct kwenye chumba cha siri
Uonavyo wewe mimi naona tofauti. Tusubiri tarehe 28 October
 
Naambiwa interview ya jana Watanzania wa hata huko vijijini wameangalia kwa TVs za vibanda.. huku wanafurahia TL anavyotema hoja nzito nzito..
 
Wanamuita charismatic leader nikweli kabisa kwa interview ile inafikirisha kila unapotembea kama unajua hii nchi iwe na muelekeo UPI kwa vizazi vijavyo
 
Naambiwa interview ya jana Watanzania wa hata huko vijijini wameangalia kwa TVs za vibanda.. huku wanafurahia TL anavyotema hoja nzito nzito..
Interview yenyewe ndio hii?

 
Upinzani ulishakufa tangu 2015, JPM kwasasa anafanya kampeni ili kutimiza matakwa ya Chama chake.
Huu ndio ukweli. Chadema kwenye uchaguzi huu ni wepesi kama unyoya.
 
Lissu ni mpango Wa Mungu..Lumumba kila goti litapigwa.
 
Anauliza ana dhambi gani hadi apewe miaka mitano!HATA HIYO MITANO UMEHURUMIWA,ULITAKIWA UFURUSHWE IKULU KWA MAWE,MARUNGU,MUNDU,SIME,MAPANGA NA KILA AINA YA SIRAHA.DHAMBI ULIZONAZO UNAENDA KUMUONGEZEA MUNGU MZIGO WA KUFIKIRIAAKUTWANGE ADHABU NZITOKIASI GANI,SHAME ON YOUMIGUFULI
 
magufuli anatangaza sera huko kwao bush: 'mkinichagua nitanunua ndege zingine' πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…