Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi
Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya.
Hakuna masai anayeondolewa kwa nguvu Ngorongoro. Kwa wale waliokataa kwenda Msomero waendelee kuishi kama wanyama maana hayo ndiyo maisha waliyochagua. Wasilazimishe Serikali kupeleka miundombinu ya kijamii huko wakati wamesema wao hayo maisha ya kuishi mbugani na wanyama ndyo maisha yao asili.