Ninaifahamu sana Ngorongoro kuliko hako kakichwa kako kanakotegemea kulipwa posho za wanaharakati.
Climate change imefanya Ngorongoro kuwa malisho ya kudumu. That is an ecological disaster. Lazima kuwe na Solution.
Inawezekana mkoloni alidhani kuifanya Ngorongoro kuwa na mixed use kutaisha kutokana na Wamasai, kidogo kidogo, kuachana na pastoralism.
Bahati mbaya, ndiyo kwanza, population nz Ng'ombe wameongezeka, na kuongeza stakes za kisiasa, ki ekolojia, na majirani, directly or through NGOs, kupata entry ya kupandisha mbegu ya vurugu.
Naiunga mkono Serikali yangu kwa hatua inazozichukua.