Tundu Lissu anapotosha Kuhusu Ngorongoro

...nasikia wamelipwa.
Hivi ujinga mtaacha lini? Unakuja kupinga kitu Kwa hearsay? Kwa hiyo unataka tukuamini wewe uliyesimuliwa na shemeji yako? Sisi hatuijui historia ya Mgogoro wa Ngorongoro Hadi tukuamini wewe Chawa wa Kijani unayetetea usiyoyajua?
Kama wewe hujapata mgawo shauri yako? Ila ukweli ni kwamba kuna fedha imetoka
 
Wanyama wanaongezeka na wao wanaongezeka. Wanyama hawana options wao Wana option. Tukiacha siasa lazima pia tujue na haki za wanyama hao kuishi. Kuna nchi Dunia wanyama wamebaki kuwa historia kuwa walikuwepo. Huwezi kujenga miji na shughuli za kibinadamu zikaendelea humo mbugani.

Wakishamaliza Ngorongoro wahamie na kule Serengeti, wahamishwe wale wanaozuia mbuga ya Serengeti kukutana na Ziwa Victoria mpakani mwa Bunda- Mara na Lamadi- Simiyu
Uko porini wanakofukuzwa wamasai watachimba madini hili mkuu unalichukuliaje?
 
Apewe nani? Angekuwa Mzungu kutoka Europe au USA ungeona sawa? Hii nchi ina watu bogus sana
Akili ya kitumwa, kwa hiyo wamasai waondolewe alafu unawaleta waarabu bila mikataba inayoeleweka

Huu utetexi wako dhaifu uzungu au uchina hautoi uhalali kwa waarabu kuja kutuibia
 
Ile ni asili ya wamaasai dogo
Mimi kwanza siyo dogo nina miaka 60. Asili ya Wamasai siyo Ngorongoro. Kabla ya karne ya 17 walikuwa huko Sudan wana migrate. Walipofika Serengeti wakawakuta Watatoga ndiyo wakawa displace na kuishi wao👇🏿👇🏿👇🏿
Screenshot_20240818_163920_Google.jpg

Then, Wamasai waliishi Serengeti hadi Mkoloni alopowahamisha ili ku establish Serengeti National Park kwa sheria ya mwaka 1951👇🏿👇🏿
Screenshot_20240818_163844_Google.jpg
 
Akili ya kitumwa, kwa hiyo wamasai waondolewe alafu unawaleta waarabu bila mikataba inayoeleweka

Huu utetexi wako dhaifu uzungu au uchina hautoi uhalali kwa waarabu kuja kutuibia
Kwani uneiona mikataba au unaandika tu kama vile bata mwenye kideri anavyohara?
 
Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi

View attachment 3073355
Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya.

Hakuna masai anayeondolewa kwa nguvu Ngorongoro. Kwa wale waliokataa kwenda Msomero waendelee kuishi kama wanyama maana hayo ndiyo maisha waliyochagua. Wasilazimishe Serikali kupeleka miundombinu ya kijamii huko wakati wamesema wao hayo maisha ya kuishi mbugani na wanyama ndyo maisha yao asili.
Nimeona wameshika mabango yaliyo chapishwa kwa kiingereza lugha karibu wote hawaijui.
 
Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi

View attachment 3073355
Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya.

Hakuna masai anayeondolewa kwa nguvu Ngorongoro. Kwa wale waliokataa kwenda Msomero waendelee kuishi kama wanyama maana hayo ndiyo maisha waliyochagua. Wasilazimishe Serikali kupeleka miundombinu ya kijamii huko wakati wamesema wao hayo maisha ya kuishi mbugani na wanyama ndyo maisha yao asili.
Acheni wamasai kwenye ardhi yao waliokulia, acheni kuwanyanyasa kwa kuwagawa kwa hongo Mungu anawaona. Kama hawatolewi kwa nguvu kwanini tarafa yao haipo kwenye uboreshaji wa daftari la wapiga kura? Kwanini zile huduma zilizokubaliwa wapewe na mamlaka ya Ngorongoro hawapati?
 
Watafiti wengi hasa wa kizungu waliisha-andika sana solution ya coexistance kati ya wildlife na wanadamu kwenye corridor ambayo watu ( wamasai ) na wanyama wanajikuta wote ni makazi yao..
Recommendations hazikuwa kuwahamisha bali harmon existance kwao wote kama sehemu ya ecologia...hao wamasai hawajaja hapo kwa bahati mbaya wapo kabla hata ya uhuru....
Mipango yote ambayo serikali inapanga inapaswa wawe na uwezo wa kuforecast 50 - 100 yrs to come, kama hatufikishi hata miaka 70 tangu uhuru - serikali zilizopita zilijenga shule, mahospitali n.k walipoga kura hapohapo..why ghafla leo haya mambo yanaibuka tena.
Masuala ya population growth sio mambo ya bahati mbaya yanajulikana thus mbinu na taratibu za misingi za wazi zinapaswa kufuatwa...mfano tangu kipindi hicho maeneo ya hifadhi za mapori zingewekwa kabisa..kama ilivyo kwenye misitu au mapori mengine na by the time miaka inaenda hao wamasai wanajua kabisa - tuko.ndani ya ngorongoro but mpaka wetu ni kule na kule...wanahama tu wenyewe..kama mapori mengine yalivyo..watu hawajengi kuyasogelea na serikali haiwezi miundombinu n.k.

Pia serikali inapaswa kuwa open sana..kuna tetesi kuwa kuna waarabu wanapewa n.k...serikali itoke ikanishi serious kwa tetesi kama hizo...inapiga kimya watu wanachukulia vingine
 
Ukweli mtupu. Hata Rais wa awamu ya Tano hakuwahi kuwaza kuwafanyia hivyo watu hao. Huyu aliyechukua nafasi yake baada ya kufariki kwanini afanye hivyo na ilani ya CCM ya tangu 2020 ndio inayotekelezwa?
 
LENGO SI KUONDOA MASAI WOTE, HAPANA, BALI KUPUNGUZA MASAI, ILI PAWEPO NA UWIANO ULIO BORA, MASAI WALIONGEZEKA NA KUZALIANA MNO MBUGANI HUKU WAKIJENGA MAJUMBA YA KISASA.
 
Acheni wamasai kwenye ardhi yao waliokulia, acheni kuwanyanyasa kwa kuwagawa kwa hongo Mungu anawaona. Kama hawatolewi kwa nguvu kwanini tarafa yao haipo kwenye uboreshaji wa daftari la wapiga kura? Kwanini zile huduma zilizokubaliwa wapewe na mamlaka ya Ngorongoro hawapati?
Hakuna wamasai pale. Kuna wahuni tu.
Siasa ikiwekwa pembeni- watu na wanyama kwa style ya Ngorongoro hawawezi ku co exist na kuweza kuwa wote salama. Something will have to give.
  • Wanyama wakibanwa na mifugo eco system inakuwa challenged na uwindani haramu unaongezeka, magonjwa ya mifugo yanawaingilia wanyama pori, pia mioto ya asili ya pori inabdilika maana mifugo inaweza pia introduce mimea ya kwinginepo inapotoka kupitia kinyesi.
  • ⁠kwa upande wa binadamu, ni ngumu sana kupeleka huduma za kijamii kwa makundi yanayoishi kwa kuwa scattered tena kwenye maeneo yenye hatari. Hivyo it’s hard to have your cake and eat it too. Maendeleo ya service za jamii ili wayapate hiyo namna wanavyoishi inabidi ibadilike.
 
Ukweli mtupu. Hata Rais wa awamu ya Tano hakuwahi kuwaza kuwafanyia hivyo watu hao. Huyu aliyechukua nafasi yake baada ya kufariki kwanini afanye hivyo na ilani ya CCM ya tangu 2020 ndio inayotekelezwa?
Hii ngoma imeanza na Magufuli usijefanye mjinga. Soma hapa kama unajuwa Kiingereza-
20240818_150256.jpg
 
NI MTU MPUMBAVU PEKEE ATAKAYE KUBALI KUKAA KIMYA HUKU AKISHUHUDIA HIFADHI ZIKIGEUKA MIJI NA MAJIJI, HILI HALIWEZEKANI KAMWE SEREKALI HAIWEZI KUKAA KIMYA KWA UPUMBAVU WA AINA HIYO, TUJIULIZE PALE NGORONGORO ITAKAPO GEUKA JIJI NI NANI ATALAUMIWA?
Kwa mtu yoyote yule mwenye akili timamu sawa sawa kabisa kichwani mwake hawezi kufikiria kuwahamisha binadamu kwa nguvu pamoja na kuharibu kabisa Makazi yao eti kwa sababu ya kuwapisha Wanyama-pori ili wapate Makazi.
Ni mtu mwendawazimu tu ndiye anaweza akafanya hivyo.
 
Haisee wewe ni mtu wa ajabu kwelikweli, wanyama ni reserve ya nchi globally, wako protected kimataifa,--- "" WANYAMA WETU WASIKWAZWE KWA SHUGHULI NA MAENDELEO YA KIBINADAMU""--- ZIPO HAKI ZA WANYAMA PIA.
 
Back
Top Bottom