Mimi ninazo ila wewe ni fuvu tupu au tabula rasa.
Kinachotokea Ngorongoro ni uhujumu uchumi wa nchi yetu kwa kushambulia sekta ya utalii. Uhujumu uchumi huu umeratibiwa na NGOs za ndani na nje zenye lengo la kuhujumu uchumi wa nchi. Serikali imewajengea makazi bora Msomera na kuwawezesha kifedha, kwa hiyo madai yao HAYANA MAAN
Huna akili wewe..!!
Siasa ni maisha na maisha ni siasa.
Uchumi ni siasa. Elimu ni siasa and everything is politics infact. Na hata uamuzi wa kuhamisha Wamasai Ili kuwapa Loliondo na Ngorongoro waarabu maamuzi ya wanasiasa kwa kile wanachokiita "sera" na "Ilani ya CCM.."
Sasa kama huelewi hili bila shaka lazima lazima utakuwa ni mjinga, usiye na akili za kukupa ufahamu..!!
Wamasai wako ktk nchi ya eneo hilo karne na karne. Iweje Samia a.k.a Mama Abdul tu ndiye aone kuwa Ngorongoro inataka kuwa Jiji?
Zipo regulations za miaka na miaka tangu wakoloni za jinsi watu wanavyoweza kuishi na wanyama ikiwemo ujenzi wa makazi ya watu kwa ajili ya kui balance ecosystem. Hujui hili?
Na ukumbuke tu kuwa, Ngorongoro ni "conservation area" yaani eneo la uhifadhi ambamo watu na wanyama wanaweza kuishi pamoja bila shida kwa kuzingatia sheria na taratibu za uhifadhi. Na hili hujui pia..?
Maeneo ambayo strictly ni national parks na hairuhusiwi shughuli za kibinadamu kufanyika ikiwemo makazi ni kama Serengeti, Mikumi na kwingineko..
Huyu mama yenu ana ajenda nyingine kabisa wala siyo hiki unachokisema hapa. Anataka kuwauzia waarabu ardhi yote ya Loliondo na Ngorongoro na hivyo kapewa pesa na hao wanaoitwa wawekezaji kuhamisha Wamasai na ndizo hizo mwanae Abdul anatembea na kuhongahonga hovyo wanaopiga kelele kuhusu uhuni huu...
Inawezekana hata hujui kuwa na hifadhi ya taifa ya Serengeti inataka kuuzwa kwa wachimbaji madini..
Hujamsikia mama yako juzi kati akisema kuwa tembo hawawezi kula madini..? Na hili nalo linakupa tabu kuelewa motives za huyu Mzanzibari..?