Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
NGORONGORO IS A PROTECTED ARE, HATA KWENYE KESI HAWATAWEZA KUSHINDA, KUZUIA WINGI WAO KUJAZANA KWENYE HIFADHI NI HALALI KABISA!@bligger Halafu Wamasai wakashitaki Mahakama ya East Africa ba hukumu ikatoka mwaka 2022, walishindwa, soma hapaView attachment 3073380
Ukubwa wa ardhi ya ngorongoro upo vile vile, tatizo masai wamezaliana na wamekuwa wengi kweli kiasi cha kuwa ni tishio kwa uhifadhi, ni lazima baadhi waondoke hoja na matakwa na nia nzuri ya serekali inazidi hoja zao za kimakazi ya kimazoea