Hii mahakama pia ilitoa hukumu Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi, kesi ilipelekwa na Bob Wangwe.@bligger Halafu Wamasai wakashitaki Mahakama ya East Africa ba hukumu ikatoka mwaka 2022, walishindwa, soma hapaView attachment 3073380
Una akili kweli ndugu Huihui2 ?Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi
View attachment 3073355
Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya.
Hakuna masai anayeondolewa kwa nguvu Ngorongoro. Kwa wale waliokataa kwenda Msomero waendelee kuishi kama wanyama maana hayo ndiyo maisha waliyochagua. Wasilazimishe Serikali kupeleka miundombinu ya kijamii huko wakati wamesema wao hayo maisha ya kuishi mbugani na wanyama ndyo maisha yao asili.
Serikali ya Tanzania ikiwa wapi?maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya.
Mwacheni Shujaa Magufuli apumzike 🐼Hii kitu haijaanza leo. Imeanza wakati wa Magufuli mwaka 2017 baada ya kuona ongezeko kubwa linavyo athiri ecosystem ya Ngorongoro soma hapa
View attachment 3073372
Magufuli alikua shujaa??huu ndo ujinga Wenyewe huuMwacheni Shujaa Magufuli apumzike [emoji209]
Mimi ninazo ila wewe ni fuvu tupu au tabula rasa.Una akili kweli ndugu Huihui2 ?
Una taarifa sahihi na za kutosha kweli kuhusu hili au umelewa maji ya kijani ya u - CCM tu?
Kinachotokea Ngorongoro ni uhujumu uchumi wa nchi yetu kwa kushambulia sekta ya utalii. Uhujumu uchumi huu umeratibiwa na NGOs za ndani na nje zenye lengo la kuhujumu uchumi wa nchi. Serikali imewajengea makazi bora Msomera na kuwawezesha kifedha, kwa hiyo madai yao HAYANA MAANABinadamu hasa wa Tanzania hawataki kuambiwa ukweli hata kama ni ushauri wa kitaalamu. Suala la binadamu kuhama ngorongoro halikutolewa jana. Mimi nililisoma mwaka 1984 nikisoma somo la effects of tourism. Ushauri huu wa kuhamisha binadamu ngorongoro ulitolewa na Prof Dr Schaffer ( RIP) klessheim Institute of tourism and hotel management. Jamani Tanzania ina ardhi kubwa na ipo tupu na mapori kibao. Jee hatutaki wamasai wapate maendeleo badala ya kuishi na wanyama miaka nenda rudi kwa sababu ya bakshishi (tipp) wanazopewa na watalii alafu wanafurahii. Amka Tanzania
Yafaa lihifadhiwe, ilivyo sahihi, magonjwa ya mifugo, uwindaji haramu, ongezeko la wakazi eneo hilo la Ngorongoro inasababisha kupoteza Uasilia na Ekolojia yake vingi vikiwa vinachangiwa na Wawindaji wakitumia zana duni za kuwindia wanyama pori.Juhudi za Serikali zitambuliwe.!!Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi
View attachment 3073355
Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya.
Hakuna masai anayeondolewa kwa nguvu Ngorongoro. Kwa wale waliokataa kwenda Msomero waendelee kuishi kama wanyama maana hayo ndiyo maisha waliyochagua. Wasilazimishe Serikali kupeleka miundombinu ya kijamii huko wakati wamesema wao hayo maisha ya kuishi mbugani na wanyama ndyo maisha yao asili.
Abdul alimpelekea tundu rushwa tundu akaikaaAmeandika kwenye mtandao wa X akisema hivi
View attachment 3073355
Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya.
Hakuna masai anayeondolewa kwa nguvu Ngorongoro. Kwa wale waliokataa kwenda Msomero waendelee kuishi kama wanyama maana hayo ndiyo maisha waliyochagua. Wasilazimishe Serikali kupeleka miundombinu ya kijamii huko wakati wamesema wao hayo maisha ya kuishi mbugani na wanyama ndyo maisha yao asili.
Wasingempa mwarabu mbuga kusingekuwa na shidaWanyama wanaongezeka na wao wanaongezeka. Wanyama hawana options wao Wana option. Tukiacha siasa lazima pia tujue na haki za wanyama hao kuishi. Kuna nchi Dunia wanyama wamebaki kuwa historia kuwa walikuwepo. Huwezi kujenga miji na shughuli za kibinadamu zikaendelea humo mbugani.
Wakishamaliza Ngorongoro wahamie na kule Serengeti, wahamishwe wale wanaozuia mbuga ya Serengeti kukutana na Ziwa Victoria mpakani mwa Bunda- Mara na Lamadi- Simiyu
Kwani wanapowahamisha wanaingiza nini siyo siasa? Kwani siasa n nini? Siasa ni maisha wewe ndo unapotoshaAmeandika kwenye mtandao wa X akisema hivi