Tundu Lissu anapotosha Kuhusu Ngorongoro

Eti NGO za kenya hizi story kawapigie wajinga wenzako kwenye vijiwe vya kahawa
 
Kwa Nini mbuga anapewa mwarabu kwa mikataba ya siti
 
Mwarabu mjomba wa Mama yeye haharibu ecolojia? Mnashingilia Watanzania wenzenu wakitaabika kisa kuwalamba wataaala miguu? Wamehamishwa Wamasaia enei moja anaoewa mwaeabujingine kaisha pewa mchina,
 
NI MTU MPUMBAVU PEKEE ATAKAYE KUBALI KUKAA KIMYA HUKU AKISHUHUDIA HIFADHI ZIKIGEUKA MIJI NA MAJIJI, HILI HALIWEZEKANI KAMWE SEREKALI HAIWEZI KUKAA KIMYA KWA UPUMBAVU WA AINA HIYO, TUJIULIZE PALE NGORONGORO ITAKAPO GEUKA JIJI NI NANI ATALAUMIWA?

..Waarabu ndio wanageuza hifadhi kuwa majiji.

..Na Rais Samia ameazimia kuchimba madini ktk hifadhi ya Serengeti.
 
Wamasai wanasema unawalisha maneno wewe ni mwongo.
 
...nasikia wamelipwa.
Hivi ujinga mtaacha lini? Unakuja kupinga kitu Kwa hearsay? Kwa hiyo unataka tukuamini wewe uliyesimuliwa na shemeji yako? Sisi hatuijui historia ya Mgogoro wa Ngorongoro Hadi tukuamini wewe Chawa wa Kijani unayetetea usiyoyajua?
 
Nimeipenda hii
 
Huna akili wewe..!!

Siasa ni maisha na maisha ni siasa.

Uchumi ni siasa. Elimu ni siasa and everything is politics infact. Na hata uamuzi wa kuhamisha Wamasai Ili kuwapa Loliondo na Ngorongoro waarabu maamuzi ya wanasiasa kwa kile wanachokiita "sera" na "Ilani ya CCM.."

Sasa kama huelewi hili bila shaka lazima lazima utakuwa ni mjinga, usiye na akili za kukupa ufahamu..!!

Wamasai wako ktk nchi ya eneo hilo karne na karne. Iweje Samia a.k.a Mama Abdul tu ndiye aone kuwa Ngorongoro inataka kuwa Jiji?

Zipo regulations za miaka na miaka tangu wakoloni za jinsi watu wanavyoweza kuishi na wanyama ikiwemo ujenzi wa makazi ya watu kwa ajili ya kui balance ecosystem. Hujui hili?

Na ukumbuke tu kuwa, Ngorongoro ni "conservation area" yaani eneo la uhifadhi ambamo watu na wanyama wanaweza kuishi pamoja bila shida kwa kuzingatia sheria na taratibu za uhifadhi. Na hili hujui pia..?

Maeneo ambayo strictly ni national parks na hairuhusiwi shughuli za kibinadamu kufanyika ikiwemo makazi ni kama Serengeti, Mikumi na kwingineko..

Huyu mama yenu ana ajenda nyingine kabisa wala siyo hiki unachokisema hapa. Anataka kuwauzia waarabu ardhi yote ya Loliondo na Ngorongoro na hivyo kapewa pesa na hao wanaoitwa wawekezaji kuhamisha Wamasai na ndizo hizo mwanae Abdul anatembea na kuhongahonga hovyo wanaopiga kelele kuhusu uhuni huu...

Inawezekana hata hujui kuwa na hifadhi ya taifa ya Serengeti inataka kuuzwa kwa wachimbaji madini..

Hujamsikia mama yako juzi kati akisema kuwa tembo hawawezi kula madini..? Na hili nalo linakupa tabu kuelewa motives za huyu Mzanzibari..?
 
Mjinga sana wewe, utatengaje jamii na siasa?
 
Hivi we jamaa ukibanwa utaje hata NGO moja tu ya Kenya iliyolipa hawa waandamane na wafunge barabara utaitaja? Moja tu sio hata nne?

Mnapenda sana ku play victim kwa kusingizia watu. Malizeni matatizo yenu nyie wenyewe! CCM mnaenda kwa wananchi kusingizia chadema na wa Kenya kwa mafyongo yenu mliyofanya

Wafanyabiashara kkoo na mikoani walivyogoma nao walifadhiliwa na Kenya au Uganda?

Bei ya sukari ilipopanda ilisababishwa na Korea au msumbiji?
 
NI MTU MPUMBAVU PEKEE ATAKAYE KUBALI KUKAA KIMYA HUKU AKISHUHUDIA HIFADHI ZIKIGEUKA MIJI NA MAJIJI, HILI HALIWEZEKANI KAMWE SEREKALI HAIWEZI KUKAA KIMYA KWA UPUMBAVU WA AINA HIYO, TUJIULIZE PALE NGORONGORO ITAKAPO GEUKA JIJI NI NANI ATALAUMIWA?
Nani kakwambia wanajenga?
 
Eti NGO za kenya hizi story kawapigie wajinga wenzako kwenye vijiwe vya kahawa
Mjinga mmoja wapo ni wewe ambaye hujui namna Kenya isivyotaka tustawi kwenye biashara ya Utalii. Na wewe ni mmoja wa wanaolipwa na hizo NGOs
 
Mwarabu mjomba wa Mama yeye haharibu ecolojia? Mnashingilia Watanzania wenzenu wakitaabika kisa kuwalamba wataaala miguu? Wamehamishwa Wamasaia enei moja anaoewa mwaeabujingine kaisha pewa mchina,
Watu wametengemezewa makazi Msomera, nyinyi bado mnataka binadamu wenzetu waendelee kuishi porini kama wanyama karne ya 21?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…