Kama wewe hujapata mgawo shauri yako? Ila ukweli ni kwamba kuna fedha imetoka...nasikia wamelipwa.
Hivi ujinga mtaacha lini? Unakuja kupinga kitu Kwa hearsay? Kwa hiyo unataka tukuamini wewe uliyesimuliwa na shemeji yako? Sisi hatuijui historia ya Mgogoro wa Ngorongoro Hadi tukuamini wewe Chawa wa Kijani unayetetea usiyoyajua?
Ile ni asili ya wamaasai dogoWatu wametengemezewa makazi Msomera, nyinyi bado mnataka binadamu wenzetu waendelee kuishi porini kama wanyama karne ya 21?
Uko porini wanakofukuzwa wamasai watachimba madini hili mkuu unalichukuliaje?Wanyama wanaongezeka na wao wanaongezeka. Wanyama hawana options wao Wana option. Tukiacha siasa lazima pia tujue na haki za wanyama hao kuishi. Kuna nchi Dunia wanyama wamebaki kuwa historia kuwa walikuwepo. Huwezi kujenga miji na shughuli za kibinadamu zikaendelea humo mbugani.
Wakishamaliza Ngorongoro wahamie na kule Serengeti, wahamishwe wale wanaozuia mbuga ya Serengeti kukutana na Ziwa Victoria mpakani mwa Bunda- Mara na Lamadi- Simiyu
Akili ya kitumwa, kwa hiyo wamasai waondolewe alafu unawaleta waarabu bila mikataba inayoelewekaApewe nani? Angekuwa Mzungu kutoka Europe au USA ungeona sawa? Hii nchi ina watu bogus sana
Hii ndo mbaya zaidi kuliko hiyo ya kuhamisha wamasai..Waarabu ndio wanageuza hifadhi kuwa majiji.
..Na Rais Samia ameazimia kuchimba madini ktk hifadhi ya Serengeti.
Mimi kwanza siyo dogo nina miaka 60. Asili ya Wamasai siyo Ngorongoro. Kabla ya karne ya 17 walikuwa huko Sudan wana migrate. Walipofika Serengeti wakawakuta Watatoga ndiyo wakawa displace na kuishi wao👇🏿👇🏿👇🏿Ile ni asili ya wamaasai dogo
Kwani uneiona mikataba au unaandika tu kama vile bata mwenye kideri anavyohara?Akili ya kitumwa, kwa hiyo wamasai waondolewe alafu unawaleta waarabu bila mikataba inayoeleweka
Huu utetexi wako dhaifu uzungu au uchina hautoi uhalali kwa waarabu kuja kutuibia
Nimeona wameshika mabango yaliyo chapishwa kwa kiingereza lugha karibu wote hawaijui.Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi
View attachment 3073355
Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya.
Hakuna masai anayeondolewa kwa nguvu Ngorongoro. Kwa wale waliokataa kwenda Msomero waendelee kuishi kama wanyama maana hayo ndiyo maisha waliyochagua. Wasilazimishe Serikali kupeleka miundombinu ya kijamii huko wakati wamesema wao hayo maisha ya kuishi mbugani na wanyama ndyo maisha yao asili.
Acheni wamasai kwenye ardhi yao waliokulia, acheni kuwanyanyasa kwa kuwagawa kwa hongo Mungu anawaona. Kama hawatolewi kwa nguvu kwanini tarafa yao haipo kwenye uboreshaji wa daftari la wapiga kura? Kwanini zile huduma zilizokubaliwa wapewe na mamlaka ya Ngorongoro hawapati?Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi
View attachment 3073355
Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya.
Hakuna masai anayeondolewa kwa nguvu Ngorongoro. Kwa wale waliokataa kwenda Msomero waendelee kuishi kama wanyama maana hayo ndiyo maisha waliyochagua. Wasilazimishe Serikali kupeleka miundombinu ya kijamii huko wakati wamesema wao hayo maisha ya kuishi mbugani na wanyama ndyo maisha yao asili.
Ukweli mtupu. Hata Rais wa awamu ya Tano hakuwahi kuwaza kuwafanyia hivyo watu hao. Huyu aliyechukua nafasi yake baada ya kufariki kwanini afanye hivyo na ilani ya CCM ya tangu 2020 ndio inayotekelezwa?Watafiti wengi hasa wa kizungu waliisha-andika sana solution ya coexistance kati ya wildlife na wanadamu kwenye corridor ambayo watu ( wamasai ) na wanyama wanajikuta wote ni makazi yao..
Recommendations hazikuwa kuwahamisha bali harmon existance kwao wote kama sehemu ya ecologia...hao wamasai hawajaja hapo kwa bahati mbaya wapo kabla hata ya uhuru....
Mipango yote ambayo serikali inapanga inapaswa wawe na uwezo wa kuforecast 50 - 100 yrs to come, kama hatufikishi hata miaka 70 tangu uhuru - serikali zilizopita zilijenga shule, mahospitali n.k walipoga kura hapohapo..why ghafla leo haya mambo yanaibuka tena.
Masuala ya population growth sio mambo ya bahati mbaya yanajulikana thus mbinu na taratibu za misingi za wazi zinapaswa kufuatwa...mfano tangu kipindi hicho maeneo ya hifadhi za mapori zingewekwa kabisa..kama ilivyo kwenye misitu au mapori mengine na by the time miaka inaenda hao wamasai wanajua kabisa - tuko.ndani ya ngorongoro but mpaka wetu ni kule na kule...wanahama tu wenyewe..kama mapori mengine yalivyo..watu hawajengi kuyasogelea na serikali haiwezi miundombinu n.k.
Pia serikali inapaswa kuwa open sana..kuna tetesi kuwa kuna waarabu wanapewa n.k...serikali itoke ikanishi serious kwa tetesi kama hizo...inapiga kimya watu wanachukulia vingine
Majumba ya masai yalikuwa yanaota si kipiapoa, nyumba zinakimbiza mbuga mkuu, na kuikaba mbuga. Sisi wakazi wa huku ndiyo tunaofahamu wengi ni bendera fuata upepo!Nani kakwambia wanajenga?
LENGO SI KUONDOA MASAI WOTE, HAPANA, BALI KUPUNGUZA MASAI, ILI PAWEPO NA UWIANO ULIO BORA, MASAI WALIONGEZEKA NA KUZALIANA MNO MBUGANI HUKU WAKIJENGA MAJUMBA YA KISASA.Watafiti wengi hasa wa kizungu waliisha-andika sana solution ya coexistance kati ya wildlife na wanadamu kwenye corridor ambayo watu ( wamasai ) na wanyama wanajikuta wote ni makazi yao..
Recommendations hazikuwa kuwahamisha bali harmon existance kwao wote kama sehemu ya ecologia...hao wamasai hawajaja hapo kwa bahati mbaya wapo kabla hata ya uhuru....
Mipango yote ambayo serikali inapanga inapaswa wawe na uwezo wa kuforecast 50 - 100 yrs to come, kama hatufikishi hata miaka 70 tangu uhuru - serikali zilizopita zilijenga shule, mahospitali n.k walipoga kura hapohapo..why ghafla leo haya mambo yanaibuka tena.
Masuala ya population growth sio mambo ya bahati mbaya yanajulikana thus mbinu na taratibu za misingi za wazi zinapaswa kufuatwa...mfano tangu kipindi hicho maeneo ya hifadhi za mapori zingewekwa kabisa..kama ilivyo kwenye misitu au mapori mengine na by the time miaka inaenda hao wamasai wanajua kabisa - tuko.ndani ya ngorongoro but mpaka wetu ni kule na kule...wanahama tu wenyewe..kama mapori mengine yalivyo..watu hawajengi kuyasogelea na serikali haiwezi miundombinu n.k.
Pia serikali inapaswa kuwa open sana..kuna tetesi kuwa kuna waarabu wanapewa n.k...serikali itoke ikanishi serious kwa tetesi kama hizo...inapiga kimya watu wanachukulia vingine
Hakuna wamasai pale. Kuna wahuni tu.Acheni wamasai kwenye ardhi yao waliokulia, acheni kuwanyanyasa kwa kuwagawa kwa hongo Mungu anawaona. Kama hawatolewi kwa nguvu kwanini tarafa yao haipo kwenye uboreshaji wa daftari la wapiga kura? Kwanini zile huduma zilizokubaliwa wapewe na mamlaka ya Ngorongoro hawapati?
Hii ngoma imeanza na Magufuli usijefanye mjinga. Soma hapa kama unajuwa Kiingereza-Ukweli mtupu. Hata Rais wa awamu ya Tano hakuwahi kuwaza kuwafanyia hivyo watu hao. Huyu aliyechukua nafasi yake baada ya kufariki kwanini afanye hivyo na ilani ya CCM ya tangu 2020 ndio inayotekelezwa?
Kwa mtu yoyote yule mwenye akili timamu sawa sawa kabisa kichwani mwake hawezi kufikiria kuwahamisha binadamu kwa nguvu pamoja na kuharibu kabisa Makazi yao eti kwa sababu ya kuwapisha Wanyama-pori ili wapate Makazi.NI MTU MPUMBAVU PEKEE ATAKAYE KUBALI KUKAA KIMYA HUKU AKISHUHUDIA HIFADHI ZIKIGEUKA MIJI NA MAJIJI, HILI HALIWEZEKANI KAMWE SEREKALI HAIWEZI KUKAA KIMYA KWA UPUMBAVU WA AINA HIYO, TUJIULIZE PALE NGORONGORO ITAKAPO GEUKA JIJI NI NANI ATALAUMIWA?
Haisee wewe ni mtu wa ajabu kwelikweli, wanyama ni reserve ya nchi globally, wako protected kimataifa,--- "" WANYAMA WETU WASIKWAZWE KWA SHUGHULI NA MAENDELEO YA KIBINADAMU""--- ZIPO HAKI ZA WANYAMA PIA.Kwa mtu yoyote yule mwenye akili timamu sawa sawa kabisa kichwani mwake hawezi kufikiria kuwahamisha binadamu kwa nguvu pamoja na kuharibu kabisa Makazi yao eti kwa sababu ya kuwapisha Wanyama-pori ili wapate Makazi.
Ni mtu mwendawazimu tu ndiye anaweza akafanya hivyo.