Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Kwa sababu ameaminisha watu kuwa eye ni mkweli, anaongea hasta mambo ya vikao vya Kamati Kuu, anatuhumu wenzake kwa mambo ya uongo kabisa ambayo anajua kabisa kuwa anawachafua wenzake ili kujenga Imani kwa wanachama aonekane mkweli.
Anatafuta uongozi kwa kuwadanganya watanzania kuwa yeye ni tishio kwa serikali au utawala wa Rais Samia, hivi kweli serikali imuogope Lissu?
Tulioanza kufuatilia Siasa za nchi hii Kuna mwanasiasa tishio zaidi ya marehemu Maalim Self Shariff? Kuna wanasiasa wasumbufu zaidi ya Augustine Mrema, Profesa Lipumba, Prince Bagenda?
Serikali imuogope Lissu? Acheni kudanganya umma, wanaotaka Lissu awe kiongozi wa Chadema hasa ni wanasheria ambayo wanaona biashara kwao zitakuwa nyingi sana akishika uongozi, anajua wengi watapelekwa mahakamani na wao watapata Fursat ya kwenda kuwatetea na maisha yaende.
Lissu awe tishio kwa serikali ipi? Labda serikali ya Kijiji.Lissu ameitisha nini serikali hadi Sasa aonekane mwiba? Kama Dkt Pizza Besigye anashughulikiwa TU huko Uganda na waganda wote wameufyata ndio ataweza Lissu?
Sasa usitafute kura kwa kuwabomoa na kuwachafua wenzako uonekane wewe ndio mkweli? Kwa uongo, fitna, majungu naona Lissu atapoteza hiyo nafasi kwa sababu wenzake akina Mbowe hawawezi kukubali ashike uongozi kwa staili za uongo, uongo na kuchafua wenzake.