paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Eti aisee, kiutani utani tu jamaa kaondoka
Alishindwa kuwashawishi waTZ kuwa kuna sababu ya kuandamana. Na Lissu sio wa kwanza kushindwa hilo. Au tumemsahau Mange Kimambi? Naye alishindwa kutushawishi akaishia kututukana kuwa tusimpelekee shida zetu tena. Sasa Lissu naye kagonga mwamba, yeye badala ya kutukana amejiendea zake kwa wafadhili wake waliompa pesa ya kampeniTundu lisu mnamuonea bure.
Hamkuwa na nia ya ya kufanya hayo maandamano.yeye mmoja ataweza vipi?.
Aliwaambia muandamane MLITOKA?.
Au mlitaka aje milangoni mwenu abishe hodi kuwa muda wa maandamano imefika?.
Mkuu!! Aisee 😂😂😂😂Tundu lisu mnamuonea bure.
Hamkuwa na nia ya ya kufanya hayo maandamano.yeye mmoja ataweza vipi?.
Aliwaambia muandamane MLITOKA?.
Au mlitaka aje milangoni mwenu abishe hodi kuwa muda wa maandamano imefika?.
So police kuua watz kwa faida ya matumbo ya watawala ambao nao wakishapata awawakumbuki police kuwaboreshea maslai yao, kazi zingine ni lzm urogwe kwanza ili kuzifanyaBuku Saba wa Lumumba na VPN za kuwekewa na Polepole katika ubora wao!
Maandamano hayakufanyika kwa sababu Polisi walitishia kuua raia full stop
Raia waliogopa kuuawa na jeshi lao wenyewe!
Polisi wakishapewa posho ya mission, husahau kuwa baada ya hapo kuna miaka mingi mbele ya maisha yao ambayo nao wanapigika kama sisi!So police kuuwa watz kwa faida ya matumbo ya watawala ambao nao wakishapata awawakumbuki police kuwaboreshea maslai yao
Mleta mada ni mpotoshaji pia, badala ya kuandamana kudai haki yake, yeye alitaka kuandamana kuleta vurugu.Alichofanya ni sahihi 100% nadhani wewe ndiye hujui undani wa siasa.
Polisi wakishapewa posho ya mission, husahau kuwa baada ya hapo kuna miaka mingi mbele ya maisha yao ambayo nao wanapigika kama sisi!
[/QUOTE
Ajabu police mshahara 270000 kula tu Hadi wife auze vitumbua then unatumika na mwanasiasa kumuuwa mtza mwenzako then mwanasiasa akishapata akukumbuki.
Ukiona polisi baada ya kustaafu anataabika usimuonee huruma jua analipwa matendo yake mabaya aliyowatendea watu alipokuwa kazini.
Kuwatumia wengine wauawe halafu njemba inajisepea, siyo?Alichofanya ni sahihi 100% nadhani wewe ndiye hujui undani wa siasa.
You must be groundnuts!You must be nuts!
Askari wetu waliokuwa wanamvizia atoke ubalozini wamkamate walipoona zile mashine za makachero wakati wanamsindikiza ikabidi wabaki wanachungulia tu kama ndege tunduni😁😁Amewatoroka nia na malengo yenu hayakutimia ,mtabakia kubweka sana, wale mabalozi wana informations kuliko maelezo na ndio maana wakaampa escort si ya kawaida, jamaa zangu wameufyata mabeberu na magombe wapi kwa wapi.