Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Lissu alishajua hashindi uchaguzi na alishapanga kurudi Ubelgiji. Kusingizia kuwa anahofia usalama wake ni kuwalaghai tu wafuasi wake ili waone ana sababu mpya ya kuondoka.

Lissu angekuwa anahofia usalama wake asingerudi kugombea Urais Tanzania. Anajua Tanzania ni salama ndio maana amerudi. Polisi wamemlinda na haki zake zote kapewa.

Siku akikipata anachofuata huko Ubelgiji atarudi Tanzania kwa sababu anajua kuwa Tanzania ni salama kabisa.
 
Amewatoroka nia na malengo yenu hayakutimia ,mtabakia kubweka sana, wale mabalozi wana informations kuliko maelezo na ndio maana wakaampa escort si ya kawaida, jamaa zangu wameufyata mabeberu na magombe wapi kwa wapi.
 
Tuliwaambia Tundu Lissu ni kibaraka wa mabeberu, hamkutaka kuelewa nadhani majibu mmeanza kuyapata sasa.

Magufuli ndie mkombozi wetu Watanzania
 
Tundu Lissu mnamuonea bure.

Hamkuwa na nia ya ya kufanya hayo maandamano.yeye mmoja ataweza vipi?

Aliwaambia muandamane MLITOKA?

Au mlitaka aje milangoni mwenu abishe hodi kuwa muda wa maandamano imefika?
 
Tundu lisu mnamuonea bure.
Hamkuwa na nia ya ya kufanya hayo maandamano.yeye mmoja ataweza vipi?.
Aliwaambia muandamane MLITOKA?.
Au mlitaka aje milangoni mwenu abishe hodi kuwa muda wa maandamano imefika?.
Alishindwa kuwashawishi waTZ kuwa kuna sababu ya kuandamana. Na Lissu sio wa kwanza kushindwa hilo. Au tumemsahau Mange Kimambi? Naye alishindwa kutushawishi akaishia kututukana kuwa tusimpelekee shida zetu tena. Sasa Lissu naye kagonga mwamba, yeye badala ya kutukana amejiendea zake kwa wafadhili wake waliompa pesa ya kampeni
 
Tundu lisu mnamuonea bure.
Hamkuwa na nia ya ya kufanya hayo maandamano.yeye mmoja ataweza vipi?.
Aliwaambia muandamane MLITOKA?.
Au mlitaka aje milangoni mwenu abishe hodi kuwa muda wa maandamano imefika?.
Mkuu!! Aisee 😂😂😂😂
 
Mkuu,

TAL, hakudanganya, ila hakutumia mbinu za MM ambazo huwa hazidanganyi matumizi na matokeo yake. Alitumia harakati za enzi za shule za sekondari (Ilboru & Galanos) na 'punch' za UDSM ambazo bila kushirikisha sayansi akili na taarifa yakinifu utavuna hewa tupu.

Malengo hakuyatoa kutoka kwa watu wema, maana huwezi kutoka hospitalini ambako maumivu yaliyokupata badala ya kupata muda kutuliza akili vizuri ukae na wazee wa kada tofauti na iitakadi tofauti unakurupuka kwenda kugombea uongozi wa nchi kama sio kwa nia OVU na VISASI ni nini? Anatakiwa apewe pole kwa kupotoshwa na wasiri mangumashi.

]The United Republic of Tanzania officially commenced on 26th April 1964 when Union jwas iinsepted some 56 years past; most of the active politicians now born during and after the year 1964. Since the Tanganyika and Zanzibar Union was iinsepted the citizens from both maMland and Isles are strongly integrated in all cycles whilst peace, love, freedom, rights, justice and development at different ratings prevail to date.]
 
Buku Saba wa Lumumba na VPN za kuwekewa na Polepole katika ubora wao!

Maandamano hayakufanyika kwa sababu Polisi walitishia kuua raia full stop

Raia waliogopa kuuawa na jeshi lao wenyewe!
 
Subiria cement igote elf 70 sukari 8000,nauli 2000,mafuta 5000 kwa lita utolazimishwa kuandamana
 
Buku Saba wa Lumumba na VPN za kuwekewa na Polepole katika ubora wao!

Maandamano hayakufanyika kwa sababu Polisi walitishia kuua raia full stop

Raia waliogopa kuuawa na jeshi lao wenyewe!
So police kuua watz kwa faida ya matumbo ya watawala ambao nao wakishapata awawakumbuki police kuwaboreshea maslai yao, kazi zingine ni lzm urogwe kwanza ili kuzifanya
 
Polisi wakishapewa posho ya mission, husahau kuwa baada ya hapo kuna miaka mingi mbele ya maisha yao ambayo nao wanapigika kama sisi!
[/QUOTE
Ajabu police mshahara 270000 kula tu Hadi wife auze vitumbua then unatumika na mwanasiasa kumuuwa mtza mwenzako then mwanasiasa akishapata akukumbuki.
Ukiona polisi baada ya kustaafu anataabika usimuonee huruma jua analipwa matendo yake mabaya aliyowatendea watu alipokuwa kazini.
 
Vijana wa Lumumba muachane na siasa za mitandaoni wote hamjui kujenga hoja mtafuteni majukwaani wengine njaa zenu zimefanya wazazi wenu wanaendelea kuzalilishwa huku kwa matusi
 
Sisemi kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kiviiile, inawezekana kuwa na vitisho na mambo mengine, sawa. Lakini bado haituondolei fikra.

Mawazo yangu ni kuwa kama ni kukimbia nchi ilitakiwa akimbie Mbowe, Zitto, Maalim Seif na Lissu. Eti Lema anatishiwa. Dah! mchagga mjanjaroo kasoma gepu.

Kuna kipindi cha kukimbia. Kwanini asingetiwa jambajamba ili asigombee? Yani agombee, ashindwe ndio akimbie?

Hivi huyo Lissu kama ingekuwa ni wa kuuwawa unadhani angevuka kipindi cha kampeni? Ule ndio ulikuwa muda mujaribu wa kumzimisha. Kapokelewa, kafanya kampeni, kashindwa eti ndio anaona sasa hayuko salama halafu kuna mapimbi yanaamini. Yule ni kibaraka na imethibitika kuwa alitumwa.

Watanzania wanaakili, et waingie barabarani afu ye katanguliza watoto na wake Ulaya. Upinzani hakuna wanasiasa, kuna wachumia tumbo

Mimi chibolodinda
 
Amewatoroka nia na malengo yenu hayakutimia ,mtabakia kubweka sana, wale mabalozi wana informations kuliko maelezo na ndio maana wakaampa escort si ya kawaida, jamaa zangu wameufyata mabeberu na magombe wapi kwa wapi.
Askari wetu waliokuwa wanamvizia atoke ubalozini wamkamate walipoona zile mashine za makachero wakati wanamsindikiza ikabidi wabaki wanachungulia tu kama ndege tunduni😁😁
 
Back
Top Bottom