Sisemi kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kiviiile, inawezekana kuwa na vitisho na mambo mengine, sawa. Lakini bado haituondolei fikra.
Mawazo yangu ni kuwa kama ni kukimbia nchi ilitakiwa akimbie Mbowe, Zitto, Maalim Seif na Lissu. Eti Lema anatishiwa. Dah! mchagga mjanjaroo kasoma gepu.
Kuna kipindi cha kukimbia. Kwanini asingetiwa jambajamba ili asigombee? Yani agombee, ashindwe ndio akimbie?
Hivi huyo Lissu kama ingekuwa ni wa kuuwawa unadhani angevuka kipindi cha kampeni? Ule ndio ulikuwa muda mujaribu wa kumzimisha. Kapokelewa, kafanya kampeni, kashindwa eti ndio anaona sasa hayuko salama halafu kuna mapimbi yanaamini. Yule ni kibaraka na imethibitika kuwa alitumwa.
Watanzania wanaakili, et waingie barabarani afu ye katanguliza watoto na wake Ulaya. Upinzani hakuna wanasiasa, kuna wachumia tumbo
Mimi chibolodinda