Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tuliwaambia Tundu Lissu ni kibaraka wa mabeberu, hamkutaka kuelewa nadhani majibu mmeanza kuyapata sasa.

Magufuli ndie mkombozi wetu Watanzania
Mkombozi gani muuaji ameua watanzania wenzetu 13 huko zanzibar na wengine kuwaachia vilema vya kudumu!Hili liuaji Mungu afanye mpango atuondolee kabisa!
 
Buku Saba wa Lumumba na VPN za kuwekewa na Polepole katika ubora wao!

Maandamano hayakufanyika kwa sababu Polisi walitishia kuua raia full stop

Raia waliogopa kuuawa na jeshi lao wenyewe!
Acha kujifariji kijana. Watu hawakuandamana kwasababu hapakuwa na sababu za dhati kabisa kutoka moyoni mwa watu. Kwa kifupi hapakuwa na sababu za msingi za watu kuandamana ni unafiki tu.

Polisi sio sababu ya watu kushindwa kuandamana, watu kama kweli kabisa wamechoka na utawala hawaitaji kuambiwa kuandamana vitu vitatokea vyenyewe tu.

Kama polisi ni tatizo Belarus maandamano yasingetokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunamuunga mkono na tulimshauri aondoke nchini kwani mateso ambayo yangefuata juu yake ni makubwa mno!
 
Tundu Lissu mnamuonea bure.
Hamkuwa na nia ya ya kufanya hayo maandamano.yeye mmoja ataweza vipi?.
Aliwaambia muandamane MLITOKA?.
Au mlitaka aje milangoni mwenu abishe hodi kuwa muda wa maandamano imefika?.
Hahaha jomba Nani atoke wakati tulikuwa hatujaona familia yake ikitangulia mbele na Wao wenyewe..ulitaka watu watoke bila kiongozi.mbele yao yani kwa maana nyingine wawe chambo cha riafande..shwainnnn
 
Thibitisha maneno yako
Majina ya waliouwawa yametolewa na picha tumeziona,jeshi la polisi kwanini halijakanusha?Ukweli ndio huo,wazanzibar nawashangaa kwanini kila mwaka wa uchaguzi wanakubali kupelekewa askari kutoka bara wanaenda kuua ndugu zao!
 
Hao wapokelewe tu mahali panapo stahili maana wamekufa kiboya sana
Mnafurahia kukatisha maisha ya watanzania wenzenu utafikiri ninyi mtaishi milele!
Hamjajiunza kwa Mkapa ambapo alikosa amani mpaka dakika za mwisho akatubu!
 
Mnafurahia kukatisha maisha ya watanzania wenzenu utafikiri ninyi mtaishi milele!
Hamjajiunza kwa Mkapa ambapo alikosa amani mpaka dakika za mwisho akatubu!

Vp wale mliowafukuza bungeni wakitetea wanachi kipindi cha corona mmeshatubu?
na vp je mlisema kuna corona mkafanya kampeni waliokufa kwa corona vp mmeshatubu ama hakuna corona mmebadilisha mawazo?
 
Kwahio jamaa ndo anawaacha ivo ama bado mnaendelea na maandamano?
Sisi tumemuunga mkono aende akaendeleze mapambano tokea huko akiwa salama!Tunamtakia kila la kheri na maisha marefu ili aje ashuhudie kifo cha huyu fedhuli!
 
Vp wale mliowafukuza bungeni wakitetea wanachi kipindi cha corona mmeshatubu?
na vp je mlisema kuna corona mkafanya kampeni waliokufa kwa corona vp mmeshatubu ama hakuna corona mmebadilisha mawazo?
Wakati huo jiwe alikuwa kajificha wapi?Nilifurahi kuona wabunge watatu wa CCM waliondoka kwa Corona!
 
Sisi tumemuunga mkono aende akaendeleze mapambano tokea huko akiwa salama!Tunamtakia kila la kheri na maisha marefu ili aje ashuhudie kifo cha huyu fedhuli!

vp mbna kigogo anawageuka tena sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…