Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Mkombozi gani muuaji ameua watanzania wenzetu 13 huko zanzibar na wengine kuwaachia vilema vya kudumu!Hili liuaji Mungu afanye mpango atuondolee kabisa!Tuliwaambia Tundu Lissu ni kibaraka wa mabeberu, hamkutaka kuelewa nadhani majibu mmeanza kuyapata sasa.
Magufuli ndie mkombozi wetu Watanzania