Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Yani Lisu asimalizwe wakati anapiga kampeni hadi usiku aje amalizwe leo?
 
Huyu Lissu hadhi yake ya sasa ni mkimbizi! Maana yake hawezi akafanya siasa tena, hasa siasa za kuikashifu au kuhusu nchi aliyo kimbia, hiyo ni sheria inayo mhusu mkimbizi yeyote. Hivyo mwisho wa Lissu kisiasa umefika Hatakuwa na uwaja mwingine wa siasa hana.
 
Hebu tuwekee hapa hiyo sheria tuisome, lumumba mnachekesha sana.
 
Yani Lisu asimalizwe wakati anapiga kampeni hadi usiku aje amalizwe leo?
Mngeanzia wapi, wacha kuota.

Jaribio jingine lolote la kumshoot Lissu lingewavua nguo kabisa, mkaogopa hili, na njia nyingine za kijanja kama kumtengenezea ajali hamuwezi kwa sababu ni washamba sana.
 
Nenda tu baba una baraka zetu zote watz. Come back stronger lkn endelea kupiga spana hukohuko tuko pamoja na ww
 
Mngeanzia wapi, wacha kuota.

Jaribio jingine lolote la kumshoot Lissu lingewavua nguo kabisa, mkaogopa hili, na njia nyingine za kijanja kama kumtengenezea ajali hamuwezi kwa sababu ni washamba sana.
Sasa mbona mnasema bora ameokoa roho yake na huku unasema selikali haiwezi kufanya lolote maana ina muogopa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…