Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Yani Lisu asimalizwe wakati anapiga kampeni hadi usiku aje amalizwe leo?Walipotea sehemu ndogo sana, kama wangemuwahi Lissu kabla hajafika ubalozi wa ujerumani that day, walikuwa wammalize, but the moment Lissu ameshafika mbele ya ubalozi, na balozi akawa ameshajua uwepo wake nje, hapo kila kitu kikawaharibikia.
Ndio maana walivyojaribu kumchukua kwa gari za polisi, na maafisa wa ubalozi wa ujerumani wakawa wanawafuatilia kwa nyuma, mpaka hapo wasingempata Lissu tena.