Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Haya maneno yanapandisha chuki badala ya kuponya makovu. kuna nchi mpaka Leo hii watu hawana Amani iwe ni waanzilishi wa dhuluma ama wahanga wa dhuluma. Huwezi kuwa powerful forever nawaapia huwezi. Ukijua hili basi utafikili a kesho ya vizazi vyako. Lakini ukiwa punguani basi utakua na fikra zakipunguani zaidi!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Msaliti na kibaraka wa mabeberu hana nafasi Tanzania hata kama na wewe uko kwenye group hilo sahau kuwa kiongozi TZ may be baada ya miaka 100 ijayo! Na ukazane kweli kweli kuwafundisha watoto wako ili na wao wawe vibaraka kama wewe otherwise forget about it!
 
Sasa tujiandae kwa spana....naona ataenda taasisi za kimataifa plus mabunge yenye nguvu duniani kueleza kilichotokea wakati wa uchaguzi...
Haitasaidia lolote aendelea kuuguza maumivu yake tu.
 
Ila kumbe Kuna watu niwajinga sana Sasa badala yakuongelea vitu vya muhimu Kama upendo na maridhiano, mtu anaongelea barakoa ambayo nilazima kuvaa sehemu Kama uwanja wa ndege unaotumika kimataifa na hata sehemu zinazotumika kimataifa Kama mlimani city huwezi kuingia bila barakoa au Kuna watu hata ndege hawajawahi kupanda ndo wanaongea haya niliyoyasoma?
 
Watanzania 2/3 hawajashiriki kupiga kura kwenye huo ushenzi uitwao uchaguzi, sijui ni watanzania gani unawaongelea. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Sasa Kama ulikuwa ushenzi hili shoga lenu mlilileta la Nini wakatimlijua hakuna uchaguzi Bali ni ushenzi?
 
Bila shaka hukumfuatilia vizuri,manake alisema anayo tiketi ya ndege ya kurudi Belgium, kwa ajiri ya medical check up.
Au ni jina Kifaurongo linasumbua.
Mbona hajasema anaenda for medical checkup? Au hujasoma Uzi?
 
Ha ha ha ... Akamsaidie rafiki ya Trump kuhesabu kura zilizoibiwa. Naamini ndoto ya Urais imeruka na uhalisia umetamalaki!!. Hivi kweli anaamini kuwa anaweza kuja kushinda Urais wa JMT akiwa nje ya nchi hii....😳 Labda Tanzania nyingine nisiyoijua!!. 🤔
 
Uliniona ninamjeruhi? Hebu weka ushahidi hapa tuuone.

Kushadadia kote na kukomalia hata kuchechemea kwake kumbe huku husika mkuu kwenye kutaka kumwua?

Nikadhani ulikuwa sehemu ya waliomnyima matibabu au waliomnyima stahiki zake nyingine au angalau waliomfukuza ubunge nk maana hao ni wazi kuwa walihusika.
 
Nchi hii ina watu wengi sana wasiokuwa na akili. Nyie maCCM mnataka kusema kama msingeiba kura (zile za kwenye vikapu na mabegi), Lissu akawa Rais, leo hii angekuwa anaacha Urais na kwenda Ubelgiji?

Ukweli unajulikana. Lissu kaibiwa kura. Alikoswakoswa kuuawa 2017. Baada ya kumfunua Magufuli kwenye kampeni, mzee wa visasi Magufuli anamtafuta ili ammalizie. Anaondoka kwa vile maisha yake yako hatarini. Siyo kwa sababu alipanga kufanya fujo ili akimbie.

Shangilieni tu lakini miaka 5 ijayo, mtalimia fizi. Na mwisho wa Magufuli utakuwa mbaya sana kama ulivyo wa madikteta wote.
 
Tanzania has become a place of torture and intimidation to the leaders, members of opposition or any citizen with different political views to that of the CCM government

We’re dealing with narcissists who have never conceded an election in the country’s multiparty history. By now, Lissu, Maalim Seif and other narcissists should know that we don’t have a place for Savimbis in Tanzania!
 
Back
Top Bottom