Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaliti na kibaraka wa mabeberu hana nafasi Tanzania hata kama na wewe uko kwenye group hilo sahau kuwa kiongozi TZ may be baada ya miaka 100 ijayo! Na ukazane kweli kweli kuwafundisha watoto wako ili na wao wawe vibaraka kama wewe otherwise forget about it!Haya maneno yanapandisha chuki badala ya kuponya makovu. kuna nchi mpaka Leo hii watu hawana Amani iwe ni waanzilishi wa dhuluma ama wahanga wa dhuluma. Huwezi kuwa powerful forever nawaapia huwezi. Ukijua hili basi utafikili a kesho ya vizazi vyako. Lakini ukiwa punguani basi utakua na fikra zakipunguani zaidi!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Safi kwa lipi wakati anarudi akiwa na maumivu kibao baada ya mission yake na mabwana zake kufail. Chezea watanzania wewe!!Safi sana Lisu. Kila la heri.
Haitasaidia lolote aendelea kuuguza maumivu yake tu.Sasa tujiandae kwa spana....naona ataenda taasisi za kimataifa plus mabunge yenye nguvu duniani kueleza kilichotokea wakati wa uchaguzi...
Unauhakika kama boya ananitawala?We unasubiri nini, Unataka kutawaliwa na akili kisoda ?
Afadhali ya huyo muongo kuliko anayeangamiza roho!Alisema tiket yake ni 8/12/2020
Imekuwaje Tena?
Huyu mwamba muongo Sana!
Washamba sio wahuniNchi iko mikononi
mwa wahuni wa ccm
Sasa Kama ulikuwa ushenzi hili shoga lenu mlilileta la Nini wakatimlijua hakuna uchaguzi Bali ni ushenzi?Watanzania 2/3 hawajashiriki kupiga kura kwenye huo ushenzi uitwao uchaguzi, sijui ni watanzania gani unawaongelea. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Shoga la chatu!Sasa Kama ulikuwa ushenzi hili shoga lenu mlilileta la Nini wakatimlijua hakuna uchaguzi Bali ni ushenzi?
Hayo ni maswali nakuuliza sio statementUnauhakika kama boya ananitawala?
Mbona hajasema anaenda for medical checkup? Au hujasoma Uzi?Bila shaka hukumfuatilia vizuri,manake alisema anayo tiketi ya ndege ya kurudi Belgium, kwa ajiri ya medical check up.
Au ni jina Kifaurongo linasumbua.
Unaniuliza kama nani?Hayo ni maswali nakuuliza sio statement
Acha kujimwambafai kwamb hukai Tz hali ya Kua sijakuuliza
Uliniona ninamjeruhi? Hebu weka ushahidi hapa tuuone.
Napingana na statement yako. Watanzania walimjazia Kura za ushindi. Ila NEC kwa kushirikiana na Vyombo vya Dola walipora ushindi na kutangaza walioshindwa.Ipambanie tu familia yako, watanzania walikukataa kwenye box la kura na barabarani kwenye maandamano
Tanzania has become a place of torture and intimidation to the leaders, members of opposition or any citizen with different political views to that of the CCM government