Kwani kasema atarudi lini? Pia kasema anaenda kufanya nini?Uzoefu unaonyesha kuwa hata Oscer Kambona na Abdulahmani Babu waliporejea nchini kutoka uhamishoni waligombea uongozi wa nchi na walipofeli hawakuondoka kurudi Uingereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kasema atarudi lini? Pia kasema anaenda kufanya nini?Uzoefu unaonyesha kuwa hata Oscer Kambona na Abdulahmani Babu waliporejea nchini kutoka uhamishoni waligombea uongozi wa nchi na walipofeli hawakuondoka kurudi Uingereza.
Kasema anarudi Ubelgiji!Kwani kasema atarudi lini? Pia kasema anaenda kufanya nini?
Ila Tanzania haji tena hadi 2025?Kasema anarudi Ubelgiji!
Alitaka kuifanya hii nchi kama Libya. Aiseee sentensi yako na what happened ni vitu viwili tofauti.Aende tu na hana kheri na sisi nchi hii
alitaka kuifanya kama libya mwemyezimungu katunusuru.tunamuomba atunusuru tena na tena na nia ovu.
Chadema saccos
Makamanda wamesimamisha mishipa ya shingo wakati mwenzao, familia ipo nje.Katika hatua nyingine, mke wa Lissu, Alicia Magabe, ameondoka Tanzania kuelekea nchini Ubelgiji. Magabe aliondoka nchini, mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mke alimtanguliza. Ila yeye akaamua kukimbilia ubalozi
Acha kuingiza watu barabarani ila hata kuita mkutano wa hadhara kuwaaga makamanda ameshindwa
Kabla ya kumlaumu ajilaumu yeye kwanza,walipuuzia kipindi cha serikali ya mitaa.
Unafahamu Rais wa Congo hapo, alikuwa anaishi wapi na kwa muda gani kabla ya kurejea Congo na kugombea na kushinda kiti hicho?.Pamoja na mengine, mtu huwezi toka nje ya nchi kuja kugombea urais tu na kuondoka, hakuna mtu atakuchagua na hakuna mtu atakukabidhi nchi.
Aje kufanya nini kabla ya 2025?Ila tanzania haji tena hadi 2025?
Panya ukimuona nyumbani ukimkimbiza angalia shimo anakokimbilia huko ndio Kwao Lema na Lissu wamekimbizwa Tanzania wamekimbilia mashimo ya Kenya na Kutaka kwenda USA kwa Lema ukimbizi kwa Lema na Lissu katimukia ubalozi wa ugermani na ubelgiji huko ndiko shimo lake alikotokokea...
Eti aisee, kiutani utani tu jamaa kaondokaKwahiyo wale watu waliiopoteza maisha yao kuwapiginania inakuaje? Ndo anaondoka kirahisi hivyo?
Alitengenezewa mazingira na Rais aliekuwepoUnafahamu Rais wa Congo hapo,alikuwa anaishi wapi na kwa muda gani kabla ya kurejea Congo na kugombea na kushinda kiti hicho ?.
So what! Mbona mkaombwa muingie barabarani kumuondoa mwizi wa kura mkagoma?Inatia haosra majizi kuhalalisha kuwa uliopita ulikuwa ni uchanguzi. Kampuni ya afrika kusini ili print ballot paper halali. jamana wakaprint za wizi. mnadhani hatujui. mimi nipo Jamana Printers
[emoji38][emoji38]Eti aisee, kiutani utani tu jamaa kaondoka
Mbona walisema wataingia barabarani?Mkuu unaishi mwezini, taratibu hapa ni uchaguzi ukiisha hakuna mikutano ya hadhara,hakuna kufanya siasa labda kwenye jimbo lako kama umefanikiwa kuupata ubunge.
Vinginevyo ni mpaka baada ya miaka mitano.