Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

amewaambiwa polisi hao kwamba siku chache zijazo atakuja kulichukua gari lake.
Asante sana kwa taarifa, kumbe, uchunguzi wa tukio hilo umekamilika hadi PT ku relese vital evidence!. Siku zote nilidhani ni Lissu alikuwa anasubiriwa aandike maelezo ndipo uchunguzi uanze, kumbe uchunguzi imefungwa!. Niliwahi kushauri, na leo nashauri tena, WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Kama serikali yetu imeshindwa kufanya uchunguzi, isione aibu kusema imeshindwa, watu wenye uwezo huo tupo, serikali iseme wazi imeshindwa na kutoa Rai kwa wenye uwezo wajitokeze wasaidie, watu tupo, tutajitokeza, tuta saidia.

Tena sii wengi humu wanajua, waandishi wa habari wa IJ, wana uwezo mkubwa sometimes kuliko hata polisi wetu Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
P
 
dereva keshampeleka kwa mahojiano?

..Jeshi la Polisi Tanzania ndio wenye mamlaka ya kumuita dereva kwa kushirikiana na serikali na vyombo vya Ubelgiji.

..Ukiona imepita miaka 6 tangu tukio, na Polisi wanapiga danadana, ujue kuna mtu amehusika na shambulizi dhidi ya Lissu na Polisi wanamlinda.
 
Naona mnabadili gia angani kama kawaida yenu
 
Polisi wanaliachia gari, (kidhibiti), ina maana swala zima la tukio hilo limekwisha?
 
Polisi wanaliachia gari, (kidhibiti), ina maana swala zima la tukio hilo limekwisha?
Uliza kama madawa ya kulevya yaliyokamatwa mwaka juzi na huku kesi zao zikiendelea kama bado yapo .

Hakuna sababu ya kushikilia kielelezo wakati hakuna kesi iliyofunguliwa popote

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Uliza kama madawa ya kulevya yaliyokamatwa mwaka juzi na huku kesi zao zikiendelea kama bado yapo .

Hakuna sababu ya kushikilia kielelezo wakati hakuna kesi iliyofunguliwa popote

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mkuu 'Erythro', asante kwa taarifa hiyo.

Sasa niulize tena kama hutojali: Huu ndio utaratibu unaotumika kisheria, au ni mambo ya kujiamria tu polisi wenyewe na kuyafanya?

Kwa hiyo sasa ni sahihi kwamba shauri la Lissu kutaka kuuliwa limefikia mwisho wake?
Bado hili linanitatiza, pamoja na kwamba umetoa hiyo mifano ya madawa ya kulevya; ambayo sijui kama mashauri hayo huendelea kuwemo kwenye mkondo wa sheria baada ya kuyaachia hayo madawa. Haya madawa huachiwa na kupelekwa wapi? Wahusika hurejeshewa mali zao?
 
[emoji38][emoji38][emoji38] ni hivi , hakuna kesi yoyote iliyofunguliwa kuhusu shambulio la Lissu , kuhusu madawa ya kulevya sijui yanakopelekwa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Unamkumbuka Dr Ulimboka wewe.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] ni hivi , hakuna kesi yoyote iliyofunguliwa kuhusu shambulio la Lissu , kuhusu madawa ya kulevya sijui yanakopelekwa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kwa uelewa wangu wa jambo hili, ambalo inanilazimu niseme, kama Lissu mwenyewe karidhia mambo yaishe kienyeji, haliniumizi kichwa; ni kuwa kidhibiti kikiondolewa, maana yake hakuna kesi tena. Huo ndio uelewa wangu mdogo wa mambo kama haya.
Sina tatizo, kama Lissu kaamua kuchukua gari lake na kuamua kuganga yajayo.
 
Mm ndio maana namkubali sana kikwete hakua na hayo mambo ya visasi japo nae alikua na njia zake ila sio kama za jpm alifanya kitu kibaya sana
Hayo maneno kawaambie familia ya Mwangosi.
 
Wewe ni mpumbavu kabisa,na kama ni wale jamaa wa kijani your stupid,wewe ushambuliwe na risasi 30 af upone,uwe na kilema cha maisha,una machuma mwilini kama Engine ya gari,unaweza kunyamaza? Watu wengine mnafikiriaga kwa kutumia makalio
 
Hivi kati Lisu na Dr Ulimboka nani aliuumia sana kuliko mwenzie!!??
 
ila alipata fundisho zuri sana atasimulia Kila mtu hata kama ni Kwa mabaya.


MBOWE mwenyewe anasema Sumu haionjwi Kwa kuilamba.

Jpm mbinguni Moja Kwa Moja hakucheza na wapuuzi ni makofi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…