dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Eti askari, usalama wa Taifa na watumishi wote hawako upande wetu lakini watanzania wako tiari kwa mabadiliko, anamaanisha hao alowataja sio watanzania?Hana jipya. Mguu haukunji so what?
Nawe usiwe juha! Hotuba ya bajeti hukuisikia? Kama hukuisikia, isome iko mtamndaoni na ina maelezo yote ya ajiraza mwaka huu. Au nayo iliandikwa na Lissu?Sema masikio yako yako active kusikia hayo!Mengine yanareject!
Unadhani kilichomfanya JPM kutangaza ajira 13,000 haraka haraka ni nini?Poyoyo wew!
Uwe na akiba ya maneno hujafa hujaumbikaHana jipya. Mguu haukunji so what?
Hata wewe kuna siku K yako haitafunguka hutakuwa na jipya.Hana jipya. Mguu haukunji so what?
Bajeti siku zote inakuwaga na ajira hewa!Mwaka huu mmebanwa mbavu na mtazitoa kweli kweli!Nawe usiwe juha! Hotuba ya bajeti hukuisikia? Kama hukuisikia, isome iko mtamndaoni na ina maelezo yote ya ajiraza mwaka huu. Au nayo iliandikwa na Lissu?
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Lazima usifie Mana kaka yako anagombea ubunge Monduli. Naona mnalisishana tu, utazani Monduli ya ukoo. Wamasai shitukeni hata nyie watoto wenu Wana haki ya kugombea. Isiwe kila siku ukoo ule ule ndo unatoa viongozi. Kila ukoo unakipawa cha uongozi.Hana jipya. Mguu haukunji so what?
Sasa chadema siku zote wanatukana Majeshi ya ulinzi na usalama na kuwa Chadema ikishika nchi watawaachisha na kuajiri upya kwa akili ya kawaida tu unategemea kuungwa mkono?Maaskari na Usalama wa Taifa hawapo upande wetu na watumishi wote hawapo upande wetu na ndio maana tunasema kushinda Uchaguzi huu ni kazi ngumu.
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
MKUU HUJAWAI MSIKIA KAULI MBIU YAO NI KULETA MAENDELEO YA WATU KUPITIA UTOAJI WA HAKI NA UHURU WA KUJIFANYIA MAMBO BILA KIMINYWAMINYWA ?Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Lisu tatizo alidanganywa na social media kudhani Magufuli hakubaliki. Sasa ameingia kwa field anaanza kulia lia, aendelee asiwandae kwanini aanze kuwandaa kisakolojia kushindwa yani siku 15 za kampeni?
Maneno ya kujifarijiLissu anakiri uchaguzi utakuwa mgumu, sio kwasababu ya CCM kama chama cha siasa, ni kwasababu ya Tume iliyowaengua wagombea wa upinzani bila sababu za msingi, na wasimamizi wa uchaguzi wanaoonekana kuipendelea CCM, haya mambo yatasababisha hasira zaidi kwa wapinzani siku ya kutangaza washindi, CCM wasijaribu kuiba kura, hapo ndipo hasira za wengi zitakapolipuka.
Nyie ndio mlikua mnamjaza upepo MangeNipo tayari kuingia barabarani. Tulizaliwa ili tufe tukiipigania haki. Yule anayetembea na jammers mwambieni aongeze frequency
Mtu ukijua unataka nini na hautaki nini hauwezi kubabaikaAliyewafukuza TBC ndiye yuleyule analilia TBC warudi? Kweli vituko havina jina