Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Huyu ndugu yangu aliemwelewa kuwa tukiwachagua atafamya nini aniambie! Huyu Rais wa whatApp naona atakuwa bado na chuki kali au bado anatumia dawa.Tummuhurumie na tungempa muda wa mapumziko
 
Hana jipya. Mguu haukunji so what?
Eti askari, usalama wa Taifa na watumishi wote hawako upande wetu lakini watanzania wako tiari kwa mabadiliko, anamaanisha hao alowataja sio watanzania?

Waandishi wa habari na vyombo vya habari kwa ujumla sio kwamba wanaogopa, vyombo haviogopi, ni vile tu wameamua kutokuwa wanafiki, nani wa kuunga mkono msaliti na anayejitangazia uhaini?!!! [emoji1787][emoji1787]
 
Sema masikio yako yako active kusikia hayo!Mengine yanareject!
Unadhani kilichomfanya JPM kutangaza ajira 13,000 haraka haraka ni nini?Poyoyo wew!
Nawe usiwe juha! Hotuba ya bajeti hukuisikia? Kama hukuisikia, isome iko mtamndaoni na ina maelezo yote ya ajiraza mwaka huu. Au nayo iliandikwa na Lissu?
 
Hana jipya. Mguu haukunji so what?
Uwe na akiba ya maneno hujafa hujaumbika

Wewe unapanda magari na unavuka barabara unaweza siku ukakatwa mkono tena unaotumia kuandikia hapa JF

Ni vyema ukijadili mambo ya ulemavu usimcheke mtu ,Ni kitu hatari sana kwa afya na Maendeleo

Kuna watu wamepooza au stroke na walikuwa wanafanya mazoezi kuliko wewe kula na kulaa
 
Nawe usiwe juha! Hotuba ya bajeti hukuisikia? Kama hukuisikia, isome iko mtamndaoni na ina maelezo yote ya ajiraza mwaka huu. Au nayo iliandikwa na Lissu?
Bajeti siku zote inakuwaga na ajira hewa!Mwaka huu mmebanwa mbavu na mtazitoa kweli kweli!
Huko majukwaani mnanena kwa lugha,Lissu kamatia hapo hapo!
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi

Tatizo unadhani kichwa chako ni sanduku la kutunzia meno tu!
 
INA MAANA LISU AMEHALALISHA KUENGULIWA WAGOMBEA? BADALA YA KUPAMBANA ANAHALALISHA NA HANA MUDA NAO
 
Daah! Mwishowe ameanza kukata tamaa masikini!!

Lakini haikuondoi wewe kuwa jembe, sema umekutana na jembe zaidi yako
 
Hana jipya. Mguu haukunji so what?
Lazima usifie Mana kaka yako anagombea ubunge Monduli. Naona mnalisishana tu, utazani Monduli ya ukoo. Wamasai shitukeni hata nyie watoto wenu Wana haki ya kugombea. Isiwe kila siku ukoo ule ule ndo unatoa viongozi. Kila ukoo unakipawa cha uongozi.
 
Lisu tatizo alidanganywa na social media kudhani Magufuli hakubaliki. Sasa ameingia kwa field anaanza kulia lia, aendelee asiwandae kwanini aanze kuwandaa kisakolojia kushindwa yani siku 15 za kampeni?
 
Maaskari na Usalama wa Taifa hawapo upande wetu na watumishi wote hawapo upande wetu na ndio maana tunasema kushinda Uchaguzi huu ni kazi ngumu.
Sasa chadema siku zote wanatukana Majeshi ya ulinzi na usalama na kuwa Chadema ikishika nchi watawaachisha na kuajiri upya kwa akili ya kawaida tu unategemea kuungwa mkono?

Toka mwanzo chadema ilionyesha wazi Haitaki kura za Majeshi na juzi tu Lisu katakana hadi mgambo shinyanga mchana kweupe
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi

Mbona kasema sana na kasuku wameanza kuimba hayo hayo! Na ashinde asishinde lakini wameanza kuongea lugha yake.
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
MKUU HUJAWAI MSIKIA KAULI MBIU YAO NI KULETA MAENDELEO YA WATU KUPITIA UTOAJI WA HAKI NA UHURU WA KUJIFANYIA MAMBO BILA KIMINYWAMINYWA ?
 
Lisu tatizo alidanganywa na social media kudhani Magufuli hakubaliki. Sasa ameingia kwa field anaanza kulia lia, aendelee asiwandae kwanini aanze kuwandaa kisakolojia kushindwa yani siku 15 za kampeni?

Kama anakubalika ki hivyo hizo figisu figisu zote za nini? Mnajua kabisa uchaguzi hamuutaki kabisa ndio maana hila nyingi.
 
Lissu anakiri uchaguzi utakuwa mgumu, sio kwasababu ya CCM kama chama cha siasa, ni kwasababu ya Tume iliyowaengua wagombea wa upinzani bila sababu za msingi, na wasimamizi wa uchaguzi wanaoonekana kuipendelea CCM, haya mambo yatasababisha hasira zaidi kwa wapinzani siku ya kutangaza washindi, CCM wasijaribu kuiba kura, hapo ndipo hasira za wengi zitakapolipuka.
Maneno ya kujifariji
 
Back
Top Bottom