Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Specification leads to accountability
 
Angalau wewe umeongea point Lisu hoja Hana kazi kulialia
 
Uko sahihi sasa akichaguliwa uwa amiri jeshi? Atakuwa amiri jeshi gani mkuu ambaye hata kukimbia hawezi? Mguu haukunjuki?
Siku tukimvunja huyo mtu wenu miguu urudi uje uandike huu upumbavu wako tena.
 
Maswali atajibu mwenyewe. Ila ninawashauri wapinzani wote wachukue mda wa kutosha kuteua na kuwapa mafunzo maalumu mawakala wao kwenye vituo vya kupigia na kuhesabu kura ili kudhibiti figisufigisu zitakazofanywa na wasimamizi wa vituo ambao ni makada wa CCM.
 
........ Mfumo wetu wa utawala ukiungalia sawasawa unashabihiana na mfumo wa kikoloni kuliko ule wa Kenya na Uganda. Mfumo wetu ni wa kikoloni unahitaji kubadilishwa fundamentally kama usipobadilishwa hatutafanya kitu!

Lisu ni kasuku sana. Anazungumza bila kushirikisha ubongo....

Atueleze uzuri wa mifumo ya uganda na Kenya kwanza.

Anavibeza vyombo vya ulinzi na usalama na watumishi ilihali anasaka madaraka.

Huyu ni wa kuogopwa kuliko Bokassa
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Lisu anaugua akili.

Wafuasi wake wana hali mbaya kuliko yeye
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Kila mara anatangaza maudhui ya ilani ya chama chake. Basi kama humfatilii utajuaje anayosema? Fuatilia ujue. Msingi wa ilani ya chama chake ni: "Uhuru, Haki, na Maendeleo ya Watu."
 
Lisu anasema watumishi wote hawapo pamoja nao wakati juzi waliwaita takataka
 
Huyu jamaa anaongea maneno makali kwa sauti kubwa sana,

'HE WANTED ME DEAD'
 
Debe tupu!
Sema watanzania utawafanyia nini?
 
Mbona hajajibu swali la pili, kwanini picha za nyomi la mikutano ya Lowasa 2015 linafanyiwa mazingaombwe hadi kujikuta watu walewale wanaoonekana kwenye picha na mazingira yale yale yanayoonekana kwenye picha yanaonekana tena kwenye mikutano yake?
 
SWALI: Lissu umezungumza kuwa Serikali iliyopo madarakani inadhibiti usishinde katika Uchaguzi wa mwaka huu, huku miongoni mwa hoja zilizopo ni kuwa wanadhibiti kwasababu unatumika na mabeberu. > Je, wewe unatumika na mabeberu? Na kama sivyo tutaamini vipi?

Lissu: Nani ni beberu? Mkinipa ilo jibu 'We Are Good to Go'. Kama mabeberu ni Marekani, ndio wanaolifundisha Jeshi la Taifa. > Madawa ya UKIMWI yote yanatoka kwao, hawa ndio wanatoa misaada Nchini. > Je, ni mimi ninatumika na mabeberu ama Serikali ndio inatumika na mabeberu?
 
Bajeti siku zote inakuwaga na ajira hewa!Mwaka huu mmebanwa mbavu na mtazitoa kweli kweli!
Huko majukwaani mnanena kwa lugha,Lissu kamatia hapo hapo!
Kumbe we ni shabiki wa Lissu? We kichwani una nini?
 
Lisu anasema watumishi wote hawapo pamoja nao wakati juzi waliwaita takataka
Lisu kuna Uzi kichwani hauko sawa Ana mental dissorder anasahau Haraka Mno
Mfano Zanzibar CHADEMA ilimteua mgombea uraisi Zanzibar kupitia vikao Halali kabisa vya chadema Zanzibar na kamati kuu na mkutano mkuu taifa wa Chadema yeye kafika kule Zanzibar akaanza kumnadi mgombea wa ACT wazalendo Maalim Seif kuwa ndie achaguliwe!!! Badala ya kumnadi wa kwake!! ALIYEPITISHWA N.A. CHADEMA
 
Jibu murua sana ...maccm yakisoma hapa yatakuwa yanaruka na kukanyagana
 
Amejibu swali la lugha ya kiswahili au kiingereza. Anchosema eti yeye anajua kiingereza sana! Hicho anachoongea na kuandika ndo kiingereza kizuri 'sana?' Sana? Lissu? Halafu imsaidie nini ktk kuomba kura za wa-TZ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…