Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Huwezi kuelewa wewe una kichwa cha panzi! Yaani mpaka leo tunasikia atafanya nini kwa watumishi? Atafanya nini kwa wakulima? Atafanya nini kuhusu afya? Atafanya nini kuhusu wamachinga? N.k jinga kabisa wewe!Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi